Recent content by mayila

  1. M

    Gari kutetemeka

    pole, angalia plug na cable zake, mojawapo inawezekana imeisha, i have the same before.
  2. M

    Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

    hao kanisa ni washenzi tu! nani amewapa mamlaka ya kuamua hatma ya maisha ya watu! ni mungu pekee anaweza kuamua
  3. M

    Picha ya Kutisha-unyanyasaji wa wanawake! (Onyo picha inatisha)

    hiyo photoshop, hakuna ukweli hapo
  4. M

    Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

    pole sana, bado unatazama tbccm? ni majanga, nadhani bado upo analojia, wenzio tulisha delete hizo channel
  5. M

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    jk kachemsha sana, si rahisi sana kwa pk kukaa na wauuaji, aanze yeye kukaa na babu seya.
  6. M

    Walimu wakatwa kodi ya nyumba

    walimu walio wengi ujinga na umaskini wa akili ndo umetawala maisha yao, tumewashauri waitose ccm but stil wanava tsht na kofia, mungu waangazie waendelee kufaidi matunda ya kura yao
  7. M

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    policcm wamchunguze ccm, jibu litakuwa.....
Back
Top Bottom