• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by mayenga

 1. mayenga

  Coronavirus disease: Mnaujua huu ugonjwa?

  Duh hata mie niliyeandika nilikuwa sikumbuki kabisa
 2. mayenga

  Ushuhuda namna Polisi Central wanavyopiga Pesa bila kutoa risiti

  Thank me later.Na fuatilia
 3. mayenga

  Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

  madereva mabinti wako wengi tu.Hautakuwa wa kwanza.La msingi jifunze namna bora ya kutoa huduma kwa wateja.
 4. mayenga

  Mama mkwe ni msumbufu, nimechoka. Nifanyeje?

  Mwanaume unarudije nyumbani mapema?rudi saa saba za usiku tuone kama atatamani umpeleke huko Mbagala.
 5. mayenga

  Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

  vyura acheni kelele,rudi mtoni
 6. mayenga

  Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

  kwakweli mimi sina la kusema.Ila tu omba Mungu akupe mtoto mwingine.Ikifika wakati huo jipange mkeo mpeleke hospital ya private inayoeleweka.Kiujumla majanga yaliyoko huko yanatisha sana.Nimewahi kusimuliwa na mke wangu yaliyoko huko yanatisha sana.
 7. mayenga

  Mheshimiwa Lukuvi unakwama wapi Rais Magufuli akusaidie?

  Nyie mnajua utendaji wa waziri kwenye baadhi ya mambo unaishia wapi?
 8. mayenga

  Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

  Hivi Tundu Lissu kura ya ndiyo au hapana amepigiwa,maana naona yuko peke yake
 9. mayenga

  Wazungu wanatuharibia maana ya rangi zetu (Rainbow)

  inasikitisha sana.Kwa makusudi kabisa hii kitu inaenea sana,ukiangalia timu zote za ulaya kitu hiki kinashabikiwa sana,hapa kwetu kuna baadhi ya dala dala tayari zina nembo hizi.Yaani ni hatari kubwa.
 10. mayenga

  Nimeonyeshwa hili likitokea mwaka 2025. Sijui kama litatimia

  Punguza kula wali na makande
 11. mayenga

  Tuache kujibagaza, tukitaka kuwa wazalendo wa kweli tutafute suluhu ya kudumu dhidi ya mkulima Steyn

  Malisa anatoa masuluhisho yasiyo na mashiko
Top