Recent content by Maxmillian Macha

  1. M

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Nipenda sana uchambuzi wako Tusubiri maelezo ya mtekwaji Today is Monday
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana siasa za majitaka

    Ok hawajaenda shule.Je inakuaje mnpokutana nao mahakamani wanawashinda?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu TBC1 kutorusha mechi za Timu ya Taifa. Uzalendo wenu upo wapi?

    Kwa kweli TBC1 imekosa mvuto kabisa maana sikumbuki lini nilitazama yaani imekuwa kama shule za secondary za serikali zilivyokosa mvuto mtt amefauli vzr lakini uthubutu kumpeleka Government school wapi Iliboro,old Moshi and so on ili heshima irudi mabadiliko ni muhimu sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nape Nnauye kufukuzwa uanachama wa CCM

    Uwoga wako ndiyo umasikini wako Nape ni shujaa na ni mfano wa kuigwa kwani hakifutwa uwanachama ndiyo mwisho wa maisha yake?Hata kama wakimfuta uwanachama maisha yatasonga mbele yeye siyo mtoa riziki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Wakati wa Mchezo wa Simba Vs Yanga hivi majuzi Mhe.Ridhiwana alikuwa analonga na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowasaa.Je nae ni msaliti?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunataraji sakata la Makonda kutuhumiwa kufoji cheti litinge bungeni April, Ndalichako jiandae

    Kumbuka kuna watu wamefkuzwa kazi kwa kutokuwa na vyeti,sasa huyu X nae lina muhusu sheria ni msemeno kaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, naomba Prof. Prosper Ngowi mteue awe Mshauri wako wa Uchumi

    Umesema "Ngoi" hapo umechemka labda ungesema "Ngosha"hapo mkuu angekuelewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Malizia sentence yako *alikiri kwamba nini*?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Hili tuendeleze na zoezi la kupita nyumba kwa nyumba na kuwabaini wale wote wasiyofanya kazi pamoja na kuwakamata wote waliyokaidi zoezi la upigaji rangi nyumba zao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Ili tuendeleze zoezi la nyumba kwa nyumba kwa kuwakamata wale wote wasiyofanya kazi na wale wote waliyokaidi zoezi la kupiga nyumba zao rangi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Karibu sana mtaani Bashite
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro CUF: Prof. Lipumba amsimamisha kazi Maalim Seif, amteua Magdalena Sakaya kukaimu

    Wewe ni bonge la Prof ila vitu anavyovitenda haviendani kabisa na u Prof wako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa akiwa Mahakamani Kisutu, Aandika ujumbe mzito kwa Watanzania

    Haki sasa imetoweka,wa waache watu wamchugue wampendae hiyo ndiyo democracy ya kweli
Back
Top Bottom