Recent content by max mathew

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye RADIO E-FM waanza kurusha TV station yao

    115 Chanel ya amc
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye RADIO E-FM waanza kurusha TV station yao

    Je haipatikani kwenye ving'amuzi vingine?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uganda: Watu wachinjwa kinyama na kutelekezwa

    Inapatikana namba ngapi hiyo channel
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Rais mwanamke, itakuwaje katika haya?

    Hayo ni mambo ya kifamilia itategemea wao wenyewe kama wanapenda kufuatana kila mahali sidhani kama sheria kuna Mahali inamkataza Rais kuambatana na mke/mume wake labda kama kuna sababu za kiusalama. Lakini pia najua wanaume wengi hawapendi kufuatana na wake zao kwenye mambo ya kikazi ikiwa mke...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa mshahara

    Mshahara sikuzote hautoshi na ukiona mshahara umekutosha ujue akili yko haifanyi kaz vzr Hii nkutokana naukweli kwamba kdiri unavyopata hela nyingi zaidi ndivyo matumizi na mahtaji ynavyo ongezeka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni busara kusoma taarifa ya habari bila kuchana nywele?

    Ww unaangalia hbari au nywele?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wavuta bangi huongea maneno yenye busara sana?

    Inategemea na kichwa cha mtu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pale mke wangu anapomuonea wivu mwanae mchanga

    [emoji5] [emoji5] [emoji5]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pole sana baba yetu!!!

    Ingebidi astafu kama amezeheka
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kunywa bia asubuhi ni uzembe

    Nunua mda wanaouza alfu uhifadhi unywe mda unaotaka
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAWEZA IKATOKEA LUGHA MPYA HAPA DUNIANI

    Nimefikiriaa mtoto akizaliwa huzungumza lugha ya sehemu alipo zaliwa sasa huwa najiuliza ikitokea wakachukuliwa watoto wachanga kama 10 au zaidi wakawekwa sehemu ambyo hawawezi kusikia lugha yoyote hadi wanakua wakubwa je wataongea lugha gani? au watakua bubu? tusaidiane
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake chukueni huu ujanja

    Hilo nalo neno
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya mpenzi wako inayokuvutia zaidi?

    Then nkishakuambia??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Acheni hizo bana

    Hivi mdada akipiga self kweny gari alipewa lifti hio gari inaharibikaee?
Back
Top Bottom