Recent content by Mawembasa1979

  1. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Paul Biya wa Cameroon adaiwa kufariki Ulaya

    Kazi yake kubwa kula starehe na kuwafadhili Wanamuziki Nguli wa DRC ili wamuimbe na kumpaisha vizuri.
  2. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania istanbul Mvua ya El-nino Mafuriko yaliyotokea jana usiku siku ya jumatano haya ndio madhara yake

    Halafu Wabongo walivyo, wakisikia El nino ipo Posta Mpya watafunga safari kwenda kuangalia na kupiga picha.
  3. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka shangazi yake

    Kwa Wachimba Madini huenda ni Imani za kishirikina.
  4. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka shangazi yake

    Msafwa mwenzio huyo Mkuu (Just joking).
  5. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

    Mimi sitawaamini tena.
  6. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

    Ila mwaka huu TMA wametuboa sana Wakulima.
  7. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Walisema kutoka tarehe 01 October 2026 siku 10 baadaye itanyesha bonge la mvua. Wakatuambia tuweke nafaka ndani maana hatutaweza kufika Kariakoo. Ila Mungu amewaaibisha.
  8. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hawa nao wanazingua kila siku kututishia tu. Mungu wetu aliye hai atazuia ELNINO haitakuwepo kabisa.
  9. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    Mbona haiji sasa tumechoka
  10. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Vipi Mkuu matokeo ni ngapi ngapi? Jitahidi kuheshimu wenzako.
  11. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Asante Kaka. Unayejua kila kitu.
  12. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Kwa hiyo mnatutangazia kuwa mmeloga? Kama ni hivyo Nigeria angekuwa anakuwa Bingwa wa AFCON na World Cup kila wakati. Mpira ni sayansi Mkuu, Uchawi ni saikolojia tu. Hata kama Yanga akishinda ni juhudi za wachezaji na ubora wao wala sio uchawi na Simba vile vile.
  13. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Kuu yarejesha utaratibu wa zamani kununua Tiketi Dabi ya Kariakoo

    Changamoto inatokana na copy and paste ye Teknolojia!
  14. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Benni McCarthy: Kenya haiwezi kushinda AFCON hata mkinipa Mamilioni ya Dola

    Kwani Wachezaji waliokuwa TP Mazembe kutoka Zambia walikuwa wangapi> Walikuwa wawili (2) tu (Kalaba na Mwape). Kushinda Kombe inahitaji kujitambua, kujiamini na bidii zaidi kwa Wachezaji ukiongezea na mazingira bora ya timu kama Uongozi na Uwezeshaji.
  15. Mawembasa1979

    JamiiForums Tanzania Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    Kijijini kwetu kuna jamaa mmoja alikuwa fundi mzuri wa kutengeneza mipira ya chandimu. Mkimuudhi tu anasusa kucheza anakuchukua mpira wake na kuondoka zake. Yaani alikuwa anadeka sana.
Back
Top Bottom