Recent content by maweiwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania IGP afunguka kwa wanaochezea amani

    Mbona amechelewa sana
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu demu simuelewi

    "Great thinker" wa siku hizi??
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuwaza kuhusu hili?????????????

    mshaambiwa tu milioni 45, mwataka nini tena?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa kichaga wanaharibu mashine za watoto wao wa kiume.

    Firstlady mbona utakoma leo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    wanadaiwa na RICHMOND
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA yafilisika Kisera

    Hivi huyu hayumo kwenye orodha ya kwenda JKT??? kama hayumo kwenye list nilitamani kweli awepo tena batch hii ya kwanza. Angalau akikaa wiki tatu anaweza kurudi kichwani zikiwemo kidogo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto MCHANGA AOKOTWA LEO -Kimara/Baruti

    Hivi we mama uliyetupa huyo mtoto roho haikuumi? Siku akiwa maarufu ndio unajitokeza eti mi ndio mama yako?? kudadeki nakutoa nduki. Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema naamini atamkuza tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Siasa mbaya sana, imeshamuharibu mpaka Profesa Muhongo?? kazi ipo!
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Anajibu majibu mepesi utadhani yupo chumbani kwake, amekera!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waikimbia masasi baada ya kukosa posho.

    Nakumbuka wakati wa uchaguzi wa 2010 askari waliokuwa wanalinda kura kituo cha loyola, Mnyika aliwaambia kuwa anajua kuwa wanalinda maslahi ya wakubwa lakini atakaposhinda na kuwa ubunge atahakikisha anapiginia haki zao Hebu kama askari mpo humu mkumbusheni ahadi yake.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na gari ningetoa funguo...

    Tupo milioni 45, hivyo kazi ni kwako!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watu na serekali

    Tu hodari wakubwa wa kulalamika, lakini inapofikia kipindi cha kufanya mabadiliko sijui tunakuwa usingizini? nakumbuka "wafanyakazi tuliambiwa na JK sihitaji kura zenu" tulifanya maamuzi gani kwenye chumba cha kupigia kura??
  13. M

    JamiiForums Tanzania JKT batch ya kwanza hiyo.

    masikini wee mdogo wangu huyu anaenda kukutana kambini na Mwigulu Mchemba kha!
  14. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha StarTimes: Dawa yake hii hapa

    Heri yenu nyie mie kwenye DSTV, TBCCM haitoi sauti kabisa. kama kuna mtaalamu aje anambie nifanyaje??
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa bado kama mbuni... hajajua au hajali tatizo hasa la Utawala wa CCM

    Siasa ya Tanzania inahitaji busara sana kuitafakari!!
Back
Top Bottom