Bila Adroid au ISO ndo basi tena Soko lao limeisha .. Wakulima wa marekani walioadhirika na huu mgogoro watapewa fidia na selikali .
Swali je wachina anauwezo huo.
Kuongoza nchi siyo lelemama ni kama mpira au kucheza draft ukiwa mje unaona makosa yote and all the moves lakini kaa wewe. Majibu ya matatizo yote na changamoto zote yameshatolewa au yatatolewa apo badae .
U cant change a country overnight . Maendeleo mengi yanayodumu yanachukua muda.
Jana baada ya kusikia wema karudi ccm sikustuka sana kwa sababu a few days a go alisema anatamani kufa. So its like she was under pressure na anafanya maamuzi either kwa shinikizo au emotion.
Aliendaje chadema was its an ideological move au emotional move .. kama mtakumbuka it was more of...
Kuna kitu Dr Mzindakaya aliongea ni kizuri sana . Tusilinganishe marais coz kila rais ana mwenyendo wake, hulka zake na ana maono yake . Naona nchi ya tofauti sama baada ya miaka 10 ya Magufuli .. na ndiye rais tutakaye mkumbuka kuliko wote
Kweli ccm mbele kwa mbele yani hamna kusema pooh kila mtu anaisoma number hamna kusaidiana . Kama number ni yako jichangeni mkalipie hamna kudesa kila mtu anasoma number yake
ZANZIBAR-ASP asante kwa uchambuzi mzuri . Mimi naona linawezekana kuwekeza lakini changamoto ni Kubwa sana . Just imagine NSSF Group of companies hiyo structure take. Taasisi kama NSSF kwa pesa iliyowekeza kwenye majengo wangeweza kujenga viwanda vingi na kutengeneza majipu mengi pia...
Mradii huu ni white elephant kama ulivyokua mradi wa pantoni ya kwenda Bagamoyo. Tanzania kama nchi ya Dar kama mji mkuu wa kibiashara hapakuwa na ulazima wa kuwa na mradi 'MKUBWA' kama wa DART. kuna umuhimu wa kuboresha usafiri wa mabasi, treni ata kuvuko lakini kwa kiasi gani??
Makosa ya...
Vip hotel the sea cliff au yenyewe ipo katika sehemu inayoruhusiwa kisheria . coz mara nyingi nimeshafika katika mgahawa wao wa karambezi yani maji yanagonga mwamba wa hotel .mimi naona serikali iwaangalie upya hotel na shuguli nyingine za kiutalii sheria na taratibu mpya ili waweze kutumia...
Jimbo la Masasi cuf ingeshinda kirahisi kama UKAWA wangekuwa wamoja japo akiangalia numbers don't add up lakini hilo jimbo kama Mh Lowassa, Mh Mbowe, Mh Msigwa, Mh Mbilinyi and the likes wangeenda kupiga kampeni ata for two days tu things would have been different.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.