Tanzania kuendelea inahitaji wasomi kama Prof. Clive E. Chirwa wa Zambia

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Prof. Clive E. Chirwa ni mkuu wa kitivo cha engiuneering cha copperbelt,univercity cha Zambia.

CV ya huyu proffessor inavutia kwani haiko kama wasomi wetu wengi ambao CV zao huwa zimejaa tu machapisho mbali mbali waliyochapisha kwenye magazeti,vitabu au waliyotoa kwenye midahalo na makongamano.Tukiwa na wasomi wa vitendo kama huyu kama inavyoonyesha kwenye CV yake nchi itaenda.Lakini tukiendelea tu kuwa na wasomi watapika nondo na maneno mazuri kama Professor Lumumba wa Kenya ambaye huongea lugha tamu lakini vitendo sifuri nchi yetu haiwezi kwenda

Angalia mwenyewe CV YAKE

the-dean.jpg

Prof. Clive E. Chirwa


BEng , MSc (Auto. Trans.), MSc (Aero. Struct), PhD (Struct. Dyn.) DSc (Ap. Phys.), FEIZ, MSAE, VerH, CEng, PEng, REng



Distinguished Professor of Crashworthiness Design of Aerospace & Automotive Engineering


Selected Major Works



    • Invented excessive load passive management system used in all aircraft and spacecraft landing gears
    • Developed Fibre reinforced composite materials used in Airbus 380 Aircraft Fuselage
    • Developed the crush nose cone in Formula 1 racing vehicles
    • Developed modern systems used in the crashworthiness concept used in all road vehicles today that protect occupants in crashes
    • Developed the railway crashworthiness system used in all modern wagons to protect passengers in derailment crashes
    • Invented Railway lifeguard crash protection system on rail vehicles
    • Contributed in the design of many air, road and rail vehicles
SOURCE:CV yake nimeichukua HAPA

Engineering
 
Mmmh mbona Zambia wanauchumi mbovu sana. Au umesahau few weeks ago ilibidi wafanye mpaka maombi Mungu aingilie kati uchumi wao.
 
Mazingira ya kujifunzia kwenye taasisi zetu za elimu hayana vitendea kazi ndo maana ma prof wetu wana ugunduzi mwingi tu nadharia yet to be put into practices kutokana na situation,ukitaka kuthibitisha wafuatilie walio nje ya nchi utastaajabu mambo makubwa wamegundua.Zambia wameegemea uongozi/siasa wa vitendo sio unafiki na porojo za ccm alafu uwalaumu wasomi na watafiti wetu
 
Yes,yeye ni prof wa vitendo sio wa makablasha

Mkuu umeleta neno jipya la kiswahili ambalo wataalamu wa lugha inabidi waliingize kwenye kamusi ya kiswahili.
neno hilo ni PROFESA WA MAKABLASHA likimaanisha profesa ambaye hana kazi ya kuonyesha zaidi ya machapisho na makablasha ya mikutano,makongamano na midahalo.
 
Back
Top Bottom