Recent content by Mawazo2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Umeongea vyema sana ndugu! Ila mtoa mada huyu siyo bure, utadhani ni kama mzimu wa Magufuli unamtetea Magufuli. Huyu Mtoa mada ni kama aliyevaa miwani ya mbao, hawezi kuona hoja nyingine nzuri ya mtu mwingine kwa vile tu inapingana na hoja yake. Pili, kuna watu wanajua 100% kuwa wameonewa, na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    PhD yenyewe ni ile ya thesis, bila course work ya darasani, na ameitafuta akiwa Waziri, unatarajia nini? Kwa mfumo wa Elimu ya Juu hapa TZ, mtu anaweza kununua tu PhD kirahisi sana. Hoja yako ni ya msingi sana, PhD nyingi ni paper works, wanakusanya literature nyingi na kuandika chapters mtu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

    Magu alifaulu kwa kukariri, alikuwa na cramming capacity kubwa sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

    Ni kweli vyeo vya RC, DC vifutwe, then viondoke pia vya RAS na DAS. Hivi vyote ni vyeo vya kuilinda CCM na pia kuwatafutia ulaji wana CCM wanaokosa vyeo vingine vya kitaalam na kisiasa. TAMISEMI iwe Wizara inayosimamia Serikali za Mitaa kwa ngazi ya Halmashauri chini ya DED. Kila kinachofanywa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

    Halafu Jiwe mwenyewe eti anaenda Kanisani anahutubia eti "tumtangulize Mungu mbereee, tusibaguane kwa ukabila, ukanda, dini na vyama vyetu, tuwe wazarendo- jinga kweli, kiswahili kibovu. Mungu akaona Jiwe ndo litangulie mbele, Sabaya na wenzao wafuatie. Kwa kina Sabaya ingekubaliwa lile ombi la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

    1. Kwa upande wa Africa, Magufuli hakufanya chochote! Kikwete kafanya madogo, hayawezi kutosha kuitwa shujaa. 2. Kwa Tanzania, Magufuli ni Maarufu sana kwa mema na mabaya. 2.1 Ukweli ni kwamba Magufuli alifanya mengi mazuri makubwa kwa Tanzania (ni mengi yanajulikana sina haja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Hawezi kuficha upumbavu wake maana jamaa ni jinga kabisa. Hao ndo wale wanaua wazee ili wachukue pension au mali zao, badala ya kufanya kazi ajitafutie maendeleo yake mwenyewe analilia mali za ndugu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Pole sana kwa kupigwa pipe na Six Pack halafu hujakojoa, ukaambulia maumivu kwa kurupushani za sex. Mwambie yeye, siyo sisi hatukuwepo wakati mnachubuana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

    What?? Umekosea sana kujenga hoja yako, labda wewe ndiyo Sabaya mwenyewe, au mfuasi wake! Ukiteuliwa ndo ufanye ujinga kisa mfumo? Huo mfumo kina RC wake Sabaya walikuwa kwenye mfumo tofauti? Yaani wewe mtu mzima ukiambiwa kunya hadharani utakunya? eti kisa umeambiwa hivyo na mkubwa wako? Kuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

    Kwa issue ya Bandari ya Bagamoyo, ukweli ambao hauzungumzwi na ambao hata Jiwe hakusemea ni Je, huu mradi ni strategic project au la? Kama ni strategic, umuhimu wake unabaki pale pale. Kama dili la financing ya Wachina ndo tunapigwa, basi angesema au kwa sasahivi, hoja ibaki kuwa mradi ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hivi hamjaona kama Hayati Magufuli ni fursa kwenu hata kama alikuwa adui yenu?

    Anataka CHADEMA wamsifie sana Magufuli kama ndo Rais wa wanyonge, na kwa hiyo CHADEMA wajipambanue kwa wanyonge na wafuasi wote wa Magufuli, wapingane na wale wanaombeza na kumchafua Magufuli, lengo ni CHADEMA kuchukua hao wafuasi wote kama mtaji wao mkubwa kwenye uchaguzi wa 2025 ili wachukue...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    Sijakuelewa! Alipokubali kuliwa na yule aliyempa mimba? au aliporudi kwa jamaa yake wa kwanza kuomba msamaha?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katuthibitishia matumizi ya Kiswahili hayakuwa kukikuza bali kuna mtu lugha ya Kimataifa hakuiweza

    Ni kweli kuna Viongozi kama wa China, Ufaransa, n.k kila mkutano popote duniani wanahutubia kwa lugha zao. Magu kazi kapiga sana siyo mchezo ila kuna mapungufu machache yalimchafulia rekodi zake (mengine hata haieleweki ni kwanini aliruhusu yamchafulie mema mengi). Kwa upande wa lugha ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Fedha na Mipango?

    Kama una point nyingine iseme tena, kama ni hii tu kaa kimya hujui chochote kuhusu watu na ofisi zao wanakujale, unafikiri viongozi wanaiba kwa kutoa hela cash benki ?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wake za watu kuliwa ovyo, wa kulaumiwa ni wanaume kwa ushawishi

    Hivi ulivyomsifu mtoa mada ni dalili za wewe kuliwa. Hiyo staili aliyomaliza nayo pia ni mojawapo ya mbinu za kumla mke wa mtu
Back
Top Bottom