Magufuli, Makonda na Sabaya; ilikuwaje tukapata viongozi wa aina hii?

Nimesimuliwa jambo fulani na mtu mkubwa tu ikanishangaza sana. Kwamba JIWE alikuwa na watu wake kila kona ya nchi hii ambao walitumia ubabe, ukatili na vitisho hasa kwa wafanyabiashara wakubwa ili wawe wanatoa fedha ambazo alizitumia kujenga miundombinu mbalimbali ya serikali na yake binafsi nje ya bajeti. Lengo lilikuwa ni kujipa uhalali wa kutawala mbele ya watanzania, na pia alipiga marufuku kuwanyanyasa machinga na mama lishe ili aonekane ni mtu wa wanyonge maana ndio wengi Tanzania. Huyo mtu anasema walikuwepo wakuu wa wilaya, mikoa na viongozi wengine ndani ya chama chake waliokuwa "wanakula" pamoja naye hayo mapato haramu. Anasema fedha zingine alikuwa anatembea nazo kwenye gari yake ili azigawe kwa wanaoitwa wahitaji barabarani na kununulia mahindi ya kula. Sasa ili siri zake hizo zisifichuke aliamua na kupanga kutokomeza kabisa upinzani na wasipate ubunge maana wangeweza kubaini na kuhoji anakopata fedha za miradi mbalimbali ikiwemo ya Chato na anazogawa barabarani wakati hakuna bajeti iliyopitishwa na bunge kwa matumizi hayo. Lengo lake lilikuwa ni kutawala zaidi ya vipindi viwili. Huyo ndugu anasema hata huyo DC aliyekamatwa kwa tuhuma za ujambazi na kumiliki genge la Uhalifu ni mwanachama wa kundi hilo la JIWE. Inahisiwa kwamba wengine wapo Dar, Tunduma, Arusha, Mwanza, Mara, Mtwara, Mbeya na Kigoma.

Bahati mbaya hakutambua kuwa anamchukiza Mungu kwa yote aliyoyafanya.

Tujifunze kuwachambua vizuri watu tunaowapa dhamana ya kutuongoza hasa ngazi ya Rais. Tumejifunza, tusirudie makosa.
Wewe umeandika upupu gani, Kama alichukua hela kwa wafanyabiashara akajenga miundo mbinu itakayotumiwa na watanzania wote huyo ni kiongozi mbaya??!! Angekuwa mbinafsi so angekula yeye na familia yake.

Kama alitaka wajasiriamali wadogo wadogo Kama wamachinga, mama lishe na boda boda wasisumbuliwe huyo alikuwa kiongozi mbaya??!! Mmesahau kipindi cha awamu ya 4 hawa watu walivyotaabishwa kwa kufukuzwa kila mahali na kuporwa vitu vyao au kumwagiwa vyakula vyao?

Ama kweli nimeamini watanzania hatujui nini tunataka.
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Baki na mavi yako..
Hii ndio kumbukumbu yangu kwa magu
 
Na kule Mtwara, wananchi waliposoma risala kuwa barabara ni nyembamba, wanaomba ipanuliwe, marehemu akawajibu kwa kumwonesha mama aliyekuwa karibu na kumwuliza, "na wewe, unataka upanuliwe wapi?". Kauli za ovyo kabisa.

Na kule Tunduma, alipoona mama amenyanyua bango lililoandikwa, tunaomba maji, yeye alijibu, "kamwombe mume wako".
ahahh, mwendazake ganja aliyokuwa anavuta nahisi ilikuwa dry na mixer ya Kali
 
Wewe umeandika upupu gani, Kama alichukua hela kwa wafanyabiashara akajenga miundo mbinu itakayotumiwa na watanzania wote huyo ni kiongozi mbaya??!! Angekuwa mbinafsi so angekula yeye na familia yake.

Kama alitaka wajasiriamali wadogo wadogo Kama wamachinga, mama lishe na boda boda wasisumbuliwe huyo alikuwa kiongozi mbaya??!! Mmesahau kipindi cha awamu ya 4 hawa watu walivyotaabishwa kwa kufukuzwa kila mahali na kuporwa vitu vyao au kumwagiwa vyakula vyao?

Ama kweli nimeamini watanzania hatujui nini tunataka.
Kuteka na kupiga watu risasi. Na kubambikiza watu kesi, vilifanya yote ayo yawe hayana maana.
 
Katiba dhaifu ndio sababu kubwa kwanini tulipata viongozi wa aina hiyo. Watu kama Magufuli, you must keep them on a leash, vinginevyo ni majanga matupu.
Uhitaji katiba kuitawala Tanzania.
Tanzanian ni miongoni mwa nchi mtu yoyote anaweza kuwa Rais na akatawala kwa vile anajisikia yeye.
Shida ni watanzania sio katiba , watanzania ni watu wa hovyo sana.
 
Kila zama na kitabu chake ndio maana Marekani kuna democrats (Rais Samia) na Republicans (Rais Magufuli). Aliyoyafanya JPM yalikuwa sahihi kwa wakati wake ila sasa tumuunge mkono mama yetu kipenzi (Democrat) Samia Hassan.

Kiburi cha madaraka ndio mambo sahihi ya wakati wake?
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Mkuu udhaifu wa Kikwete ulisababisha balaa lote hili, Kikwete angekuwa Rais imara,na anayejitambua Magufuli asingekuwa Rais,kwa makusudi ili aandae maslahi yake,alikata jina la Lowassa akiwa na lengo la kumpa Urais Membe ili Membe ampe mwanae Uwaziri wa Mambo ya nje na kisha aandaliwe kuja kuwa Rais,hapo ndo Kikwete alipolitoboatoboa Taifa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa flan Tanroad alinisimuliaga magu alivyokuwa waziri alikataa kabisa kusijengwe barabara za waenda kwa miguu (sidewalks) eti ni anasa. Wakati yeye alikua akilamba na kukunja 10%
Dah...huyu jamaa alikuwa bonge la zuzu hasa, yaani sidewalks ni anasa? Wakati sidewalks ni usalama wa waenda kwa miguu,halafu jitu kama hilo linakuwa Rais wa nchi

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kosa tulilowahi kulifanya watanzania kama kuruhusu watu wasio na uwezo kuwa wanasiasa !!!! Hili ndilo limetamalaki kwa sasa ,hasa katika chama cha mapinduzi hilo tuache unafiki ndio lililopo!!! Mtu anajifanya ni mtiifu kwa cha ana foji mpaka cheti cha taaluma ili apate cheo!! Kibaya zaidi eti hata mwanasiasa akifoji vyeti vya taaluma sheria haimgusi kama alivyofanya bashite!! Lakin mtumishi yoyote anaondolewa kazini!!? Kweli hili ni ajabu kabisa!!!
Panatakiwa katiba mpya ili upatikanaji wa viongozi wawe wanafanyiwa usaili,.
Iwe ni wazi kua Kuwa wanaccm sio tiketi ya kupata cheo!!! Cha uwaziri,ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya au u das!! Hivi vyeo watu wenye sifa bila kujali vyama waombe kazi na wapewe usaili!??
Mkuu CCM ni kinyesi kibichi cha mbwa koko

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Yan ukitaka kuonekana hooligan and stupid msifie magu!??? Yan magu na mama wakisimama aneonekana ana PhD ni mama Samia !!! Yan mpaka huwa najiuliza magu alifaulu vipi
Magu alifaulu kwa kukariri, alikuwa na cramming capacity kubwa sana.
 
Wewe umeandika upupu gani, Kama alichukua hela kwa wafanyabiashara akajenga miundo mbinu itakayotumiwa na watanzania wote huyo ni kiongozi mbaya??!! Angekuwa mbinafsi so angekula yeye na familia yake.

Kama alitaka wajasiriamali wadogo wadogo Kama wamachinga, mama lishe na boda boda wasisumbuliwe huyo alikuwa kiongozi mbaya??!! Mmesahau kipindi cha awamu ya 4 hawa watu walivyotaabishwa kwa kufukuzwa kila mahali na kuporwa vitu vyao au kumwagiwa vyakula vyao?

Ama kweli nimeamini watanzania hatujui nini tunataka.
Tunajua tunachotaka ila hatutaki mijitu kama Mwendazake
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Kwa mawazo yangu sababu ni:

1.Kukosekana kwa mifumo huru ya kufanya vetting,

2.Kuwa na katiba ambayo inamfanya Rais kuwa mungu mtu,

3.Mfumo wa elimu kuendelea kuachwa chini ya MTU na hivyo kutoa mazao ambayo pamoja na mambo mengine watu wake hawana maadili

KUMBUKA; Hawa uliowataja ni zao la jamii, ukatili wao haukuanza walipopata madaraka, walikuwa hivi, tulijifanya hamnazo tukampa chizi rungu
 
Wakuu

Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,

Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.

Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?
Magufuli kawa kiongoz kabla wew hujaanza kunyoa vuz.i....unauliza leo alitoka wap...magufulis character haikuanza leo..yuko hvyo toka akiwa chato mbunge na wazir..na aliendelea kuwa credited na wenye nchi na kupanda had kawa rais...wew umekaa hapo na pu.mbu zako una type huna mbele wala nyuma unauliza et alitoka wap.?...wee mk..... Nn
 
Mkuu chini ya fisiemu yote yanawezekana na bado tushukuru hao huenda walikuwa na nafuu!!
Tulishaandika humu iko siku wataleta "majununu waliokubuhu"
 
Yatizo lipo kwenye kuamua utasikia acha tumjalihlbu na huyu mala ooh huyu atalinda masilahi yetu usenge TUNATAKA KATIBA MPYA NA Tume huru
 
Magufuli kawa kiongoz kabla wew hujaanza kunyoa vuz.i....unauliza leo alitoka wap...magufulis character haikuanza leo..yuko hvyo toka akiwa chato mbunge na wazir..na aliendelea kuwa credited na wenye nchi na kupanda had kawa rais...wew umekaa hapo na pu.mbu zako una type huna mbele wala nyuma unauliza et alitoka wap.?...wee mk..... Nn
Kwani we Jose nini mbona umepanick sana?
 
Back
Top Bottom