Hivi na wewe kweli, yale majibu ya Iran kwa Israel mbona ni mambo yakitoto sana??? Nilidhani Iran angejibu kwa mapigo ya maana, Kila siku Israel anaenda Iran au kwenye maeneo ya Iran, Nchi Jirani anauwa maofisa wa Iran nakuondoka.... Iran na yeye auwe hata General mmoja kutoka Israel basi
Kifo cha huyu jamaa! Kiliniacha hoi sana! Naweza sema kwamba alikua na hili tatizo la figo muda kidogo,lakini nakumbuka kitu kimoja!
Kuna siku Magufuli akiwa Rais,alisema Makonda na Ruge ni vijana wake,wapatane wakae chini wayamalize,pale kwenye jukwaa Magufuli aliwaita wote Makonda na Ruge,na...
32 mbona bado sana mkuu wangu! Hii miaka ya 32 bado kabisa unapiga zako round 4 zakibabe kabisa
Labda kama una mambo yafuatayo
1. Magonjwa
2. Stress
3. Mke wako sio msafi,ukipiga kimoja tu,huna hamu yakurudia tena
4.
Moja ya kosa ulilofanya nikuvunja nyumba ya Baba yenu nakujenga kwenye kiwanja cha Baba yenu!!
Ulipaswa kujenga pembeni au kujenga sehemu nyingine kabisa, hii hapa kuna siku mtagombana na kaka/ dada/wadogo zako nakuanza kuambiana toa nyumba yako kwenye kiwanja cha Baba yetu, unless uwe mtoto...
Wengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi
Aliyewagonga wale mabinti ni Mke wa Chenge na wala sio Chenge mwenyewe..
Chenge aliamua kuibeba hii kesi ili kumuokoa mke wake asiende na maji... Kumbuka mke wa Chenge aliwakuta hawa mabinti wanalewa na Chenge,ndipo wakachukua Bajaji haraka ili waondoke...
Kama alisoma Advanced Diploma hapo sawa! Maana hata mimi nilisoma Advanced Diploma then, after 3 years nikaenda kusoma Masters Degree!
Ila napo uwe na pass nzuri, la sivyo Post Graduate itakuhusu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pumbavu huna akili! IFM kasoma Cheti cha IT, then kasoma Diploma ya Bima, then kaenda kusoma UK,Masters ya Finance! Sasa kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma hiyo ndude??
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.