Recent content by Mawazo metusela

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Salaam's wana JF, Naitwa Metusela Mawazo Athanas, Natumaini munaendelea vema na Afya njema. Mambo yaliyo wasilishwa hapo juu ni makubwa sana tena sana. Kama vijana tunahaja ya kukaa na kutafakari kwa Busara zaidi. Pili, Nalazimika kuandika hapa baada yakuona kuna story imenihusisha hasa wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mwisho wa Reli, Mwanzo wa Huzuni...

    Duh kaazi kwelikweli........... wadau munakumbuka aliyo sema Mwl. Nyerere.............. yaani siku hizi watu wanajali maslahi yao huku raia wa hali ya chini tukiendelea kunyong'onyea huo ndo ukamanda?
  3. M

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi wazidi kuishambulia CCM

    Hahahahahahahhaaaa jamani Khaaaa, anayeshambulia jukwaa ni nani?................. duhhhh jamani Naomba nisi seme chochote wadau wamemaliza kazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: CHADEMA msikubali mkutano wenu na JK kuhusisha vyama vingine, hasa CUF

    Watanzania Tuwe wazalendo kwa Nchi yetu. Kwa nia njema, CUF wasi husishwe katika mkutano huo, watalaamu wa sheria ambao pia wamo katika Kamati ya Katiba Hasa Felix Mkosamali ( mb) NCCR MAGEUZI wahusishwe kwani walionekana kupinga mswaada huu mbovu tangu kwenye kamati na Hata kutoka Bungeni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Ndugu zangu, Binafsi nachoona "Busara zitumike"
  6. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Hongera sana Mwakajila kwa mchango wako wa kuelimisha jamaa zetu hapo juu, japo nadhani hawakuelewa kulingana na sisis watanzania tulivo wavivu wa kusoma takwimu, na vitabu mbalimbali
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo La Ardhi: Wawekezaji Wanaipeleka Hii Nchi Kubaya

    too bad, but nachoamini Liberation is at the door.........
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumtema mbunge wa NCCR (Mkosamali)

    Sidhani kama ulichokiandika una uhakika nacho kuhusu huyu mbunge kinacho nisikitisha kwanza wewe siyo mpigakura wake, pili Shutuma unazozitoa dhidi ya mbunge ni za kinafiki kwani si zakweli na hazina utafiti na hivo ni za uwongo mtupu. Kwa kukusaidia, mpaka sasa Mh. mbunge amefanya yafuatayo...
Back
Top Bottom