dah,,,,umenikumbusha miaka ya1984,,ngulu,,,,kwakoa,,,mabashula,,,kule mwanga,k,njaro,,,,,,asante sanaTanzania ni nchi yenye mali nyigi watu wengi wa ulaya wanaililia sana.... hiki kipande tu cha wimbo niliwahi kuimba nikiwa primary....!

Mbunge wa Kitaifa Zitto naona hayo hajayaona ,Na Mwenyekiti mtarajiwa wa NCCR kafulila inaelekea anaona waombarushwa wabunge wenzake tuu ,Na Katibu Mwenezi mpya wa NCCR Machali yeye anayaona ya Mtwara na soko la korosho tuu na Mwanasheria mjanja mjumbe wa halmashauri kuu ya NCCR yeye anachojua ni Kutetea wale wanaoona ubaya wa uongozi wa NCCR na Serukamba kazi yake kubeba mikoba ya wenye fedha kutoa ripoti za utata za wizara kama mwenyekiti wa kamati jamani wabunge uoneeni huruma mkoa wenu embu pigeni kelele kwa nguvu zenu zote acheni kuona aibu kule ni kwenu hata mfanyeje
Je? Wale wanawake vipi. Kina Mhonga Ruhanywa,Sabreena Sungura na Zaituni Buyogela? Hivi wa CCM Kigoma haiwahusu kabisaaa!!!!