Recent content by Mawami

  1. M

    Sera ya elimu bure na utekelezaji wake mashuleni kwa sasa

    Nani kakwambia elimu bure acha zana za wanasiasa kiongozi mpambanie mwanao asome acha lalama
  2. M

    Tuliosoma Shule ya Msingi Mashujaa ya Sinza DSM darasa la kwanza 1998 tukutane hapa

    Ata mimi nilisoma mugabe pale nilisoma waalimu maarufu walikuwa kama mwl kwayu
  3. M

    Je, mchezaji wa prison kutukana kwenye media ni sahihi?

    Leo nimebahatika kusikiliza mahojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
  4. M

    Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Ebu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia Dah Maendeleo hayana chama
  5. M

    Makosa ya hayati Rais Magufuli ambayo Rais Samia lazima ayaepuke kama ukoma

    Akuongeza mishahara kwa wakati wala nyongeza ya watumishi Na akuajili kwa kiasi kikubwa
  6. M

    Dkt. Bashiru Ally Kakurwa nina hakika 100% anaweza kuvivaa viatu vya hayati Rais Magufuli

    Mbona ujasema amusii awaaajiri watu na apandishe madaraja na increment kwa mujibu ya katiba na sheria?? Acha uccm ongea yote acha kuwa na mawazo ya zamani ya mtangulizi wake
  7. M

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Kufail kuhama kutoka ualimu kwenda takwimu Ndio hasara yangu mwaka jana
  8. M

    TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    Mkuu wa shule kwa secondari Mwalimu mkuu kwa S/m Kiongozi
  9. M

    Wilaya ya Chato haijakamilika. Je, maboresho makubwa yatawezekana?

    Chato mda sio mrefu inageuka manispaa au jiji
  10. M

    CCM, elimu bure iko wapi?

    Sio elimu bure ni elimu bila Ada kiongozi kwa hiyo mingine yapo kama kawaida
Back
Top Bottom