Tuliosoma Shule ya Msingi Mashujaa ya Sinza DSM darasa la kwanza 1998 tukutane hapa

Erick Martie

JF-Expert Member
Jun 6, 2015
301
338
Mimi nnakumbuka mwalimu wangu wa darasa la kwanza mwaka huo 1998 shule ya msingi Mashujaa alikuwa anaitwa Mwalimu Nungu, vp wadau wewe mwalimu wako wa darasa alikuwa nani!?

Nlikuwa na marafiki wengi tumepotezana hebu njooni hapa tukumbukane wanafunzi wa darasa hilo la 1998 darasa la kwanza Mashuja P/s Sinza Dar es salaam
 
babu seya na wanawe ndio alikula back and front vitoto vya hapo,
 
Mimi nnakumbuka mwalimu wangu wa darasa la kwanza mwaka huo 1998 shule ya msingi Mashujaa alikuwa anaitwa Mwalimu Nungu, vp wadau wewe mwalimu wako wa darasa alikuwa nani!?

Nlikuwa na marafiki wengi tumepotezana hebu njooni hapa tukumbukane wanafunzi wa darasa hilo la 1998 darasa la kwanza Mashuja P/s Sinza Dar es salaam
Lakwanza mwaka gani??? Humu nitakuwa makini mno kwa hawa watoto
 
Mi nilisoma Mugabe japo nilikua naishi palestina nyuma ya msikiti. Nilizaliwa Palestina hospital........ mashujaa ilikuwa mitaa yangu sana kuangalia tizi la abajalo. nilianza la kwanza 1997
 
Ata mimi nilisoma mugabe pale nilisoma waalimu maarufu walikuwa kama mwl kwayu
 
Back
Top Bottom