Recent content by Mavotah

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rachel Temu nani haswa?

    Acha wivu ishi maisha yako, usifuatilie ya watu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Verified couples....

    Kijana tayari ninae huku mama ako, sasa iv nahitaji dogo dogo wa kumsaidia kazi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Verified couples....

    Wewe huna mtu huku? mimi itabidi nitafute chombo kipya maana naona kuna damu changa sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Verified couples....

    Wadau wa huu uzi mpo jamani
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto yangu kwa mwanaume alieniacha miaka mitano iliyopita

    kiongozi wanawake kama hawa nshakutana nao wengi sana hawajuagi kwamba kuna kipndi mapenzi yanaisha kila mmoja anachukua njia yake kiroho safi na pia mapenzi yakiisha wakati mwngne sio lazima uambiwe utafanyiwa visa tu. Wao wanakuwa obsessed na kung'ang'ania tu matokeo yake ndo haya,,Mwanamke...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana chini ya miaka 30 aliye tayari kuolewa baada ya kipindi cha kufahamiana vizuri

    Mzaha gani? kama vp waroge tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Makanda nendeni tuko pamoja nanyi, hakuna kurudi nyuma na wakipiga mabomu naweni maji mpaka kieleweke
  8. M

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari yako yako kwa M2 Cash

    Kwa bei hii unataka gari au mkweche?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shaban Nonda alitufanya uchochoro, Sasa tumekuwa barabara

    Kupambana kupo lakini inategemea umetokea katika mazingira gani, wakala anamchukua mchezaji Simba au Yanga mshahara wa chini laki sita bado kuna posho ndogo ndogo anampeleka Ufaransa akacheze timu ya akiba bila malipo yoyote na Bongo kaacha familia na bado club za bongo zinamfuata kwa day zuri...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

    Soma msichana achana na wanaume, kama huyu ndo wakwanza kakutenda bado kama wanne hivi mpaka uolewe, jivike moyo wa chuma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza kuandikisha, mashine za BVR zinaenda wapi?

    Acha kupaniki wewe kilaza, bado hujanijibu swali langu anza upya
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza kuandikisha, mashine za BVR zinaenda wapi?

    Wakuu nimeona hili swali limeulizwa sehemu ikabidi nililete huku tulijadili, Mashine zimemaliza kazi tayari zinapelekwa wapi? na vitambulisho vyetu havina date of issued. Hapa ina maana watu wataandikishwa hata tarehe kupita. Hapa sasa naanza kuielewa ile kauli ya Nape ya kutumia goli la mkono.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shaban Nonda alitufanya uchochoro, Sasa tumekuwa barabara

    Ni miaka 21 imepita tangu Shabani Nonda kuelekea South Africa na baadae kufanikiwa kuvuma sana Ulaya na Dunia nzima. Baada ya Nonda kufahamika tulitetegemea milango itafunguka kwa soka letu na wachezaji wetu kujielewa na kupambana ili kupata mafanikio kama ya Nonda lakini imekuwa ni shida. Mwezi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Neno moja tuu kwa Pascal Wawa

    Yule jamaa umri umekwenda sana, ananyoa kipara ili kuficha mvi, Babu Paschal Wawa
  15. M

    JamiiForums Tanzania St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    Taja majina ya wakufunzi hapa washughulikiwe sasa hivi,,
Back
Top Bottom