St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

Ndugu zangu sina uongozi wowote apo wala sitamani kuwa bali kwa sababu si mwajiriwa wa chuo hiki bali kwa nia njema sana na nina mtanguliza Mungu mbele awa jamaa wanacho kifanya ni udhalilishaji dhidi ya wanachuo hawa mimi after all si mwajiriwa wa apo lakin natamani kama kuna uhamisho wa kumwamisha mwanachuo basi ningefanya ivo,sijawahi sikia mwanachuo anachapwa fimbo,pia Watanzania tujenge tabia ya kukemea maovu kama haya ndani ya jamii zetu awa wakufunzi hawapaswi kufumbiwa macho kwa ushahidi juu ya hili uliza kwa mwana chuo yeyote wa kike anaye soma au aliye maliza mafunzo apo chuoni miaka ya ivi karibuni utahakikisha iki ninacho kisema tafadhali ndugu zangu tujirekebishe,najua tumezoea lakini ni tabia chafu wanafunzi wanapenda kupata kile walicho fuata na si hizo hulka zetu jamani,
 
Ni kweli mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa JF kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga pia nimependa eneo hili kwa lengo la kujenga mustakabali wa maendeleo chanya ya Taifa letu kwaiyo nimejiunga ili kuungana na wale wote wapenda maendeleo ya wenzao kabla ya maendeleo yao yaani Utaifa kwanza na hili ndilo limenipelekea kuileta hii kero ya vijana wetu hawa pale chuo,asanten.
 
Wadau,

Nachukua fursa hii kuonyana sisi wenye kada hii inayo husika na kulea na kukuza maadili ya wanafunzi wetu lakini kwa mambo yanayo fanywa na Wakufunzi wenzangu chuo cha St.Agrey Mbeya tuna dhalilisha taaluma zetu.

Tuache kuwalazimisha watoto wa kike kufanya ngono na sisi kwa kuwapa vitisho vya Supp na kuwapiga viboko pale wanapo enda kinyume na matakwa yenu.

Acheni tabia hizi mnaboa kiukweli mwisho wa siku wazazi watakosa imani na Chuo pia na walimu kwa ujumla tujirekebishe pia tukumbuke tumeacha familia nyumbani kwetu tafadhali tuna haribu reputation ya chuo.

wacha upumbavu hicho chuo wanachapwa viboko???
hy itakuwa shule ya kata;nyie ndo mnaoharibu maana ya neno chuo
nina wasiwasi na elimu yako
 
Mi nadhani sekta ya elimu ina idara zake zinazosimamia maadili na hapo mbeya zipo.Jambo la muhimu ni wewe kwenda na vidhibitisho vyako then hatua stahiki zichukuliwe kuliko kuja kupost huku jf ambako nadhani hakutatoa suluhisho la mapema.
 
Pia jitahidi kuwa mstaarabu ni matumaini yangu kuwa hakuna taarifa zisizo sahihi zinaweza kuletwa hapa uwanja wa wasomi ikiwa hazina uhakika sasa ombi langu kwako usipende kutoa comment zako kabla hujafanya at least simple research juu ua hoja hii ninefanya ivi nina uhakika juu ya hiki kitu pia niombe kwa roho nyeupe kabisa kuwa tuliopo apa JF tujitahidi kuwa waelewa tusipende kutoa negative response towards kitu ambacho huna uhakika nacho kwa kujiridhisha zaidi ongea na mtu yeyote yule ambae kasoma apo au anaendelea kusoma apo utayapata haya sina tabia ya kukurupuka hoja zangu huwa na Individual certification plz fuatilia kwanza
 
Ni matumaini yangu pia kuwa hawa jamaa wana mtu wa habari na mahusiano kwa jamii yaani,P.R.O,Public Relation Oficer pia kupitia njia hii anaweza kupata habari hizi zikamfikia mkurugenzi wao maana sina hakika kama mkurugenzi wao angependa kuyasikia au kuyaona haya
 
Mimi pia nimesikia kwa mtoto mmoja anasema kuna mwalimu anamsumbua sana anaweza asimalize salama coz mwalimu kamwambia kabisa. Nilipata majibu haya baada ya kuona aniuliza km anaweza kuhama chuo. Its very disappointing!! Maadili yetu yako wapi?
 
Kada ya ualimu mkuu,pia ndugu zangu wapenda maendeleo tushirikiane kukemea mambo ay hayaleti tija kwa Taifa letu sisi ndiyo tutaijenga nchi hii tusisubiri serikali panapo wezekana tuchukue jukumu la kuonyana bila kuoneana haya.
 
Wewe huna hoja zaidi ya kupayuka tu alafu unajiita msomi.Wewe kama unauhakika na unachokisema humu nenda ofisi za elimu wilaya au mkoa au hata takukuru maana hiyo ni rushwa ingesaidia sana kuliko kuja kupayuka tu huku.
 
Mkuu uku sio kuchomeana iki chuo kimekosa strong Administration wana tabia chafu sana juu ya kuwalazimisha wanafunzi kufanya mapenzi nao endapo watakataa basi ni viboko tena unafungiwa Staff na jopo la wakufunzi wana kutesa hadi pale utapo kubali kufanya nae mapenzi na akisha fanya nae mmoja pia anafuatwa na mwingine so it's like a chain wako kama tisa ivi wanavuruga hiki chuo

Hii Kitu Siyo Ya Kuachwa Hivi Hivi Members. Na Naamini WAHUSIKA Humu Mpo au Wapo Na Si Vibaya Pia Tukimshukuru Mleta Uzi ILA Inavyoonyesha Kuna Matatizo Makubwa Hapo Chuoni Na Hii Ni Ishara Tosha Kuwa Ugonjwa Huu Sasa UMESHASAMBAA Hadi Katika Taasisi Na Vyuo Vikuu Vingine. Tuache UTANI Na MASIHARA Katika Issue Hii KUNA TATIZO Linalohitaji UFUMBUZI Wa Haraka Sana.
 

Unadhani Kuna Mtu Anapenda Kufanywa PUNCHING BAG Na Kupewa Nakoz Za Haja Mkuu? Amekimbilia Humu Ili Kuokoa USALAMA Wake.

Mkuu JF ni sehemu pekee tunayoweza kuongea chochote.Sasa jamaa kaambiwa basi wataje baadhi ya wakufunzi anabaki anajiuma uma tu.Isije ikawa ni mshindani wa kibiashara na kaamua kumchafulia mwenzake.
 
Wadau,

Nachukua fursa hii kuonyana sisi wenye kada hii inayo husika na kulea na kukuza maadili ya wanafunzi wetu lakini kwa mambo yanayo fanywa na Wakufunzi wenzangu chuo cha St.Agrey Mbeya tuna dhalilisha taaluma zetu.

Tuache kuwalazimisha watoto wa kike kufanya ngono na sisi kwa kuwapa vitisho vya Supp na kuwapiga viboko pale wanapo enda kinyume na matakwa yenu.

Acheni tabia hizi mnaboa kiukweli mwisho wa siku wazazi watakosa imani na Chuo pia na walimu kwa ujumla tujirekebishe pia tukumbuke tumeacha familia nyumbani kwetu tafadhali tuna haribu reputation ya chuo.
sio kwenu ata wanafunzi wa kampala international university hua wanachapwa viboko na malecture wao tena mara kibao.....
 
Kama kweli anania ya dhati awataje then wanaowafahamu watatupa ukweli.Ila sio kutuletea mipasho humu.
 
Tafdhali tafadhali tuwe serious ndugu zangu pia tuwa onee huruma awa mabint zetu pia tunacho kataa apa ni kitendo cha wakufunzi kutumia dhamana zao kwa private gain ni ukweli usio pingika kuwa wasichana apa wanapata shida naomba pia inapo tokea mtu ana ujuza Umma juu ya uozo kama huu si vema kumvunja moyo tushirikiane kutokomeza haya
 
Huna lolote unataka uongozi wewe.Isitoshe wewe ndiye mlambaji mzuri wa watoto wa kike.

Hapa Napo Nahisi Kuna KAJI UKWELI Fulani Hivi! Na Kwa Uzoefu Wangu Inawezekana Mleta Uzi AMEZIDIWA Kete Na Wenzake Hivyo Sasa Anataka Tu KUKINUKISHA Kwa Wenzie. Wanaume Na Sisi Tuna Madhaifu Yetu Na Hasa Huwa Tunakuwa Na Wivu Mno Pale Mwanamume Mwenzetu Anapong'oa Totoz Ambayo Sisi Tumeihangaikia Kwa Muda Mrefu Na Keshatulia Kama Siyo Kutuchuna Sana. Mleta Uzi au Mwenzetu UMEHASIWA Hivi Karibuni Hivyo Unaona Tu Donge Kwa Wenzio Jinsi Watakavyokuwa WANAIKANDAMIZA Hiyo MITINGINYA Hapo Chuoni Kwako? Acha Hizo Bhana. Hivi Kiukweli Tuache Masihara Kama Wewe Ndiyo MHADHIRI / MKUFUNZI Wa Chuo Halafu Anakuja Mwanafunzi Kama Mkuu Wa Wilaya Mboni Anataka UMSAIDIE Huku ANAKUREMBULIA Yale Macho Yake Halafu KAKUVALIA KIMINI KINABANA Na Kina MPASUO Utaacha Kumpa Marks? Jamani Tumepitia Pia UALIMU / UKUFUNZI Wa Vyuo Hivi Kuna Mengineyo Kibinadamu HAYAZUILIKI Na HAYAVUMILIKI. Nimeandika Tu Hivi Tayari NIMESHADINDISHA Hapa Sasa Hivi Na Nasikia NYEGE Duh!
 
Back
Top Bottom