Recent content by Mavemba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Na maendeleo bila uhuru ni utumwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO: Unapokaa na mama mwenye watoto 3 kwenye seat za 2 by 2

    Panda bombadia mkuu hainaga sogea tuka Kweli mijitu mingine inakera unashangaa hapa linakommenti as if mke wake na watoto wanasafiri kwa private kumbe afadhali ya huyo mama. Msaada si lazima ule wa kuita vyombo vya habari huku ukitoa miche miwili ya sabuni Mwananyamala. Ukikaa na mama kama huyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tu ndizo zimetumika kuandika Misahafu yetu tunayobishaniana na kupiganiana leo

    NI lazima tutambue uwepo wa Mungu kwa namna yoyote ile kwa sababu: Moja kwa vile kila kukicha watu wanaongea uwepo au kutokuwepo kwa Mungu hivyo ni dhahiri Mungu yupo vinginevyo wazo hilo lingelishapotea siku nyingi. Waingereza wanasema since we are doubting the omnipresence of God therefore God...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mbunge wa CHADEMA Ruth Molel kutimka CHADEMA na kujiunga na CCM?

    Najaribu tu kuwaza, naona mwandishi wa mada hii anataka kumwoa binti yake Obama, ni mawazo tu<
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mbunge wa CHADEMA Ruth Molel kutimka CHADEMA na kujiunga na CCM?

    Najaribu tu kuwaza, naona mwandishi wa mada hii anataka kumwoa binti yake Obama, ni mawazo tu<
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA Mbozi anusurika kufa kwa ajali

    Pole sana Kamanda Mwl Mbunge Haonga,P.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge walalamikia adhabu ya kijana aliyemtukana rais kuwa ni ndogo, Waziri wa Sheria azungumza

    Kwa hiyo ni sheria kuisoma, kupelekea AG na kisha kuipeleka bungeni ni sahihi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    an empty tin will never stop to wind
  9. M

    JamiiForums Tanzania NIDA yatumia nguvu ya Polisi kunyamazisha wafanyakazi wanaoidai mamlaka hiyo

    Mlivaa magwanda ya kijani wenyewe, mkacheza na ngoma , mkaimba hapa kazi tu sasa endeleeni kusoma namba
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa katibu mkuu UVCCM Pemba ataka Maalim Seif Sharif Hamad Akamatwe

    DUH WE NI HATARI KAMA UKOMA, AKISHUGHULIKIWA HUYU JAMAA UNAUHAKIKA HATATOKEA MWINGINE NA CHAMA KINGINE HATARI KAMA CUF? SHUGHULIKIA DOMOCRATIA? NDO SULUHISHO.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Kimtandao: Mtoto wa Chacha Wangwe afikishwa Mahakamani Kisutu

    kila nikifiria bunge lililofichwa natamani hata kile kipindi cha maswali na majbu cha asubuhi kisioneshwe maana hakuna anayekiangalia, Tbc wanapoteza hela. Tuendelee kubana matumizi. Tena muda wenyewe ndo wa kuanza kazi kila mtu yupo busy.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge/motel/hotel nzuri Morogoro mjini

    FLOMI HOTEL ILIYOJENGWA JUU YA BOMBA LA MAFUTA. UKIKOSA HIYO NENDA KINGSWAY ALONG IRINGA ROAD. JIRANI SANA NA MSAMVU
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usanii wa nabii Malisa na miujiza feki

    NDO MANA KANISA MAMA LINA AMINI MAPADRE WAO WAANZE NA FALSAFA KWANZA KABLA YA TEOLOJIA ILI WAPATE UFAHAMU MKUBWA JUU YA IMANI. HIVYO NI LAZIMA UKIJUE KITU KABLA YA KUAMINI.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya 'kumtumbua' waziri wa Magufuli utaanza na nani?

    NAPE AMEFANYA BUNGE LIWE KUZIMU. NAPE WA KWANZA. NAMCHUKIA KAMA UKOM...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nape, kuna maana gani marudio ya Bunge kuwa usiku wote huu?

    ushuzi mwingine si wakusoma kabisa;
Back
Top Bottom