NIDA yatumia nguvu ya Polisi kunyamazisha wafanyakazi wanaoidai mamlaka hiyo

Mlivaa magwanda ya kijani wenyewe, mkacheza na ngoma , mkaimba hapa kazi tu sasa endeleeni kusoma namba
Tumia akili wewe,, usidhani kila aliyeko serikalini ni ccm,, uliwaona wapi wakiimba?? Shame on you
 
Tumia akili wewe,, usidhani kila aliyeko serikalini ni ccm,, uliwaona wapi wakiimba?? Shame on you
Ndio haohao. Maana waliona wamepata kazi kwenye serikali ya ccm. Wasingeweza kupigia debe chama kingine ili wakose ulaji. Waambie waendelee kuimba au wawaambie wawakilishi wao wawasemee
 
Niliwatafuta Baadhi ya hao wahusika kwa kigezo cha kutokutaka kutaja jina alikubali kunisimulia yaliyojiri. Kwamba hakuna nguvu yeyote iliyotumika kuwaondoa watumishi hao ambao ni wachache. Alisema kilichotokea ni kwamba watumishi hao wachache waliositishiwa mkataba wao walifika na kukutana na tangazo la NIDA likiwataka wasuburie utaratibu mwingine amba watatangaziwa lakini kwa kulazimisha baadhi yao walitaka kutumia nguvu kuingia ndani kuonana na utawala. na hapo ndipo mabishano kati ya walinzi na wao yalipoanza. sasa kumbe hakuna nguvu yoyote iliyotumika hapo kama wanavyodai. Haki ya mtu ni kweli haiwezi kudhulumiwa lakini ni vema njia sahihi ikafatwa kudai haki hiyo.
 
Back
Top Bottom