karatu ni mji wa kitalii unaokua haraka ikiwa una ndoto ya kuwekeza hapa unahitaji kupata uwanja mdogo wa gharama nafuu, kuanzia laki tano hadi m.ishirini au zaidi usiumize kichwa kama nilivyoumiza mimi hapo awali nifahamishe kupitia jukwaa hili.
it is same politic is like a game awe mbowe slaha au wah.watukufu wa ccm swali moja kiuchumi tz ni wa ngapi ktk dunia au hapa afrika. kuongea,mikutano na mipango, namba 1. Politic in tz=games let me start kwa moyo mmoja ccm wapumzike tujaribu ukurasa mwingine.wadau nipeni kura muone.Ikiwa...
Ki ukweli hawa hawasingiziwi ila ninachowaza sio makampuni au watendaji wakuu wanaofanya hayo ila vibaka wenye taaluma ya kuchomekea ku edit kama wakati flani voda walituma sms za kutohusika na sms walizotumiwa wateja toka vituo vyao any way nchi hii inahitaji kuwajibishwa VIKALI kwa watendaji...
Usiwatetee jamaa yangu nimefika hapa kwa sababu ni mara ya pili leo napokea kifurushi hewa cha cheka internet cha voda cha T sh 500 ambapo ni mb 20 tz wizi mtupu
tupo pamoja ila tu ubize nashindwa kiasi kwamba nilishindwa kuchangia chochote ila niseme tu michango yenu michache ya maoni imefaa wengi akiwepo mimi asanteni sana. Kamvua kanakoendelea hapo nje (karatu) kamji ka vidole 2 kameniwezesha kukaa hizo dkk chache thanx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.