Recent content by mavangah

  1. mavangah

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanaume niliyenae

    KWEL NYINYI KAMA KUKU HAMNA FORMULA, JAMAA ANAKUHONGA, BADO ANAKUGONGA WAKAT MM MWAKA WA PILI NAGONGA BILA HATA KUHONGA. SASA UNATAKA UFANYIWE NN...
  2. mavangah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: HILI BIFU KATI YA SOULJA BOI NA CHRIS BROWN NI KIKI AMA NI LA KWELI

    kuna majibizano yanayoendlea mitandaoni kat ya soulja boi na chriss brown , ni bifu la kwel ama ni kiki kama za wasanii wetu wa kibongo.imefikia mpaka watu wenye uchum mkubwa kama floyd na 50 wakionekana kumsurpport soulja boy , mbali na matangazo ya pambano lao.
  3. mavangah

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha pili yametoka?

    ukiona ndalichako yuko kimya ujue bado
  4. mavangah

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya godoro lipi ninunue

    Habar za muda huu wakuu na kheri ya mwaka mpya kwenu, naomba msaada wa kisayansi ,kimila au wauzoefu juu ya GODORO zuri la kununua kwa matumizi binafsi. Mwaka huu umeaanza katika malengo niliyojiwekea makuu matano ya mwaka huu, moja wapo nikupata muda mzuri wa kupumzika ikiwa ni pamoja na...
  5. mavangah

    JamiiForums Tanzania WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

    nko Nyamanoro Jeshini ndgu karibu
  6. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    shukran sana GLORY kwa somo zurii
  7. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    NASHKURU KWA USHAURI WENU NMEUFANYIA KAZ JANA KAJA KALA DOZI LEO HATA AKIENDA CHOONI ANAOMBA RUHUSA NA ANAJIB KWA WAKAT #MKUU zinginary utawakilisha shukran hizi kwa wanajamvi wote
  8. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    MMH ndo wewe nini umekuja uku, umejuajeo_O maaana mi mchaga asee
  9. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    mkuu hii hali wewe umeridhika nayo?
  10. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    kosa moja haliachii mke mkuu, nahc haka katabia kanarekebishika
  11. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    ni mke mtarajiwa mkuu, tunaenda mwaka wa pili sasa
  12. mavangah

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    nimekuelewa sana mkuuu, shukran i will tryna do dat
Back
Top Bottom