Tetesi: HILI BIFU KATI YA SOULJA BOI NA CHRIS BROWN NI KIKI AMA NI LA KWELI

mavangah

Senior Member
Sep 9, 2015
113
23
kuna majibizano yanayoendlea mitandaoni kat ya soulja boi na chriss brown , ni bifu la kwel ama ni kiki kama za wasanii wetu wa kibongo.imefikia mpaka watu wenye uchum mkubwa kama floyd na 50 wakionekana kumsurpport soulja boy , mbali na matangazo ya pambano lao.
 
Back
Top Bottom