kweli hii nimekubaliana nayo... maana na simu mbili za samsung moja imeleta mbwa..kalala mdogo nyingne imeleta manamba inahesabu...hata siyaelewi...
nilikuwa naomba je Sony Xperia utajuaje orgnal na fake..
Wale wenye uchu wa kuwa washindi wa
Miss Tanzania Mwaka 2015 Mwenzenu
ameshawaonyesha mbinu inaitwa
CONFUSE THE JUDGES!! Jifunze
Kichina muda ukifika
KAMUA JUKWAANI hata kama
umewatukana ukoo wao mzima kwa
kichina UTASHINDA..
daah watto wao wanaenda kusoma marekan sisi wanatujengea shule za kata maabara hakuna ,maktaba daah hii ndo
tanzania bhana! Akili Kwenu Wana Temeke, Mtoto Wa Mbunge Wenu Huyo Sekondar Mpaka Chuo Marekani Wakati Temeke Nahc Ni Wilaya
Ambayo Inaongoza Kwa Kua Haina Maendeleo.Watoto Wanakaa Chn...
Mkuu ni Simu gani yenye uwezo mzuli pia inatunza chager.. na inaubola mzuli mimi npo muscat Oman.. Mwakan Nataka nije Tanzania ila nataka kuja na Simu Kali Sijajua ninunue.. simu gani itakayo nifaa
kwaiyo hyo pete au saa luksa kuingia navyo chooni...
Alafu hayo masharti mazto sana... yakufuga jini wakati kwenye qur'an mwenyezimungu alisema msiwafanye kuwa rafiki zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.