Utajuaje samsung galaxy yangu kama feki

Utajuaje samsung galaxy yangu kama feki

The Samsung Galaxy line of phones is one of the most popular lines on the market. Every year, Samsung introduces a brand new Galaxy phone that pushes the boundaries of high-end devices. This is one of the biggest reasons shady phone manufacturers are always ready to create replicas and cloned Galaxy phones that look like the original ones: they're incredibly popular and very much in demand. Unlike iPhones that run on Apple's proprietary iOS software, Samsung Galaxy phones run on Google's open Android operating system, making it easier and cheaper for cloning manufacturers to produce fakes - and harder for consumers to distinguish between a genuine model and a fake one.

EDITDetermining Fake Galaxy phones from Genuine ones

Did you just buy a new Galaxy Note 3 and have doubts as to its authenticity? Got a very cheap deal online for a Galaxy S4 or a Galaxy Tab and now suffer from a bit of buyer's remorse? We have several ways of discerning a fake device from a real one, and these will be detailed on the sections below:

Spot a fake Galaxy device through physical checks

Most of the cloned phones available today are built so cheaply that their materials and their craftsmanship reflect the amount of money invested on them. When compared to the original, these fake devices can be spotted easily by checking the following physical features. Note that if you are not familiar with the genuine item's physical appearance, you may need to borrow one from a friend and put the two devices side by side.

1

The screen is made of cheap glass material.

Ad

2

The screen is too far from the edge.

3

The screen is not as bright and vibrant as the original device's.

4

Some of the sensors are not available.

5

The Home button is not on the exact same spot as that of the genuine item.

6

The Samsung logos are not smoothed out and can be felt; rubbing it will also remove the logo.

7

The device's proportions differ than that of the genuine product.

8

Gaps between parts like the home, power, and volume buttons are obvious.

9

When the battery cover is opened, some of the small components do not match with the original one.

10

The phone does not have the a seal from the National Communications Agency or an equivalent agency on your country.

11

The battery specificatio
 
Tofauti ya Samsung mobile
 
Attachments

  • 1410008706404.jpg
    1410008706404.jpg
    22.4 KB · Views: 551
Andika *#7353# isipoleta tests ni fake, hiyo ndio test ya Samsung original
 
View attachment 183117 kumekuwa na uongezekaji wa bidhaa feki ambazo zimezoeleka kwa jina maarufu za kichina! Ila leo napenda kuwajuza juu ya kutambua samsung galaxy original na feki , hiyo picha hapo juu ni picha ya simu ya mkononi kutoka kampuni ya samsung ya uko korea kusini,lakini kutokana na hali ya kibiashara makampuni yamebuni cm kama hii ya ghalama nafuu utatambuaje? 1: Angalia bei orginal hii uwa inasimama kati ya 600000 na 400000 na feki ni 150000 na 200000 na pili uitambue kwa kupiga *#0*# itatokea picha hapo ni mbwa amelala kama akutokea uyo mbwa bc iyo feki kuwa makini
7353 mwishoooooo
 
Attachments

  • 1416731299305.jpg
    1416731299305.jpg
    20.6 KB · Views: 490
  • 1416731329480.jpg
    1416731329480.jpg
    24.8 KB · Views: 441
  • 1416731347345.jpg
    1416731347345.jpg
    30 KB · Views: 419
  • 1416731367080.jpg
    1416731367080.jpg
    33.4 KB · Views: 427
View attachment 183117 kumekuwa na uongezekaji wa bidhaa feki ambazo zimezoeleka kwa jina maarufu za kichina! Ila leo napenda kuwajuza juu ya kutambua samsung ati ya 600000 na 400000 na feki ni 150000 na 200000 na pili uitambue kwa kupiga *#0*# itatokea picha hapo ni mbwa amelala kama akutokea uyo mbwa bc iyo feki kuwa makini

Hapo sikubaliani na wewe kwa sababu zifuatazo.
1. Hizo USSD Codes hazihusiani na uhalisi au uclone wa simu. Hata clones zinakubali hizo USSD Codes.
2. Hizo codes hazijawekwa kuangalia kama simu ni original. Hizo codes zimewekwa kwa ajili ya hardware testing.
3. Ukitaka kupata Samsung original kuna maduka kibao tu Dar es Salaam yanayotoa simu original. Kwa wale wanaojua maduka hayo wanaweza kukushauri zaidi.
 
cna haja natumia iphone
 
View attachment 183117 kumekuwa na uongezekaji wa bidhaa feki ambazo zimezoeleka kwa jina maarufu za kichina! Ila leo napenda kuwajuza juu ya kutambua samsung galaxy original na feki , hiyo picha hapo juu ni picha ya simu ya mkononi kutoka kampuni ya samsung ya uko korea kusini,lakini kutokana na hali ya kibiashara makampuni yamebuni cm kama hii ya ghalama nafuu utatambuaje? 1: Angalia bei orginal hii uwa inasimama kati ya 600000 na 400000 na feki ni 150000 na 200000 na pili uitambue kwa kupiga *#0*# itatokea picha hapo ni mbwa amelala kama akutokea uyo mbwa bc iyo feki kuwa makini

kweli hii nimekubaliana nayo... maana na simu mbili za samsung moja imeleta mbwa..kalala mdogo nyingne imeleta manamba inahesabu...hata siyaelewi...

nilikuwa naomba je Sony Xperia utajuaje orgnal na fake..
 
huwo ni mfano tu mkuu mbona zipo nyingi feki ambazo sinafanan sana sana

Kuwa bei rahisi hakuhukumu moja kwa moja simu ni fake! zipo factor nyingine kama inawezekana simu imeingia kwa njia za panya bila kodi, ama ni ya wizi nk
 
cna haja natumia iphone

sasa mtu anaenda kununua simu maduka ya uchochoroni na kwa bei rahisi bado anataka iwe original tu? simu dukani inauzwa milion 1 na zaidi we unataka kwa sh laki 3 unategemea nini?
 
kwenye huu uzi kuna kamba sana...!!!
 
View attachment 183117 kumekuwa na uongezekaji wa bidhaa feki ambazo zimezoeleka kwa jina maarufu za kichina! Ila leo napenda kuwajuza juu ya kutambua samsung galaxy original na feki , hiyo picha hapo juu ni picha ya simu ya mkononi kutoka kampuni ya samsung ya uko korea kusini,lakini kutokana na hali ya kibiashara makampuni yamebuni cm kama hii ya ghalama nafuu utatambuaje? 1: Angalia bei orginal hii uwa inasimama kati ya 600000 na 400000 na feki ni 150000 na 200000 na pili uitambue kwa kupiga *#0*# itatokea picha hapo ni mbwa amelala kama akutokea uyo mbwa bc iyo feki kuwa makini

Samsing galaxy s4 orijino kwa Tanzania bado imesimama kwenye laki 9.5 nenda kwa samsung agent....ila kuna hizi clone ambazo ni laki 3.5 au 3 hapo wengine hupigwa hadi laki 6 au 5 alafu ndio kuna fake ambayo ni kama ma -toy unakuta sehemu olioandikwa play store inafungua facebook......hizo ndio fake
 
Njia rahisi ni moja tu bonyeza *#7353# ukiona inaleta aplication ya simu ya vyitu vilivopo kama phonebook,msg na kdhlka ni original but ukiona amna reaction ni feki nilifundishwa na couzin yangu anauza duka la simu na ye ndo uwa anafta mzigo mwenyewe dubai.....kuhusu uyo mbwa my dear ata copy anatokea ukiweka *#0*# yani mi nilikua nabisha balaa na nilvo na kipaji cha ubishi but uyo ndugu yangu alinitolea copy na orgnl akanionyesha daah inakubal kma kwa but izo code apo juu zinagoma kwa simu feki
 
Ndugu yangu usipate tabu humu ndani wewe google utapata majibu ya uhakika.

Back
Top Bottom