Recent content by Mautamu legend

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Lipumba nashauri wahamie ACT-Wazalendo

    Nitakufa na chadema hata iweje hakuna cha dr slaa wala nani chadema ni taasisi na siyo mtu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    unasumbuka na wa2 wanao tumia makalio kufikiri
  3. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

    Acha ujinga ww ukerewe hadi mda huu ngoma bado mbichi mabomu ya machoz ndo kwanza yameanza kijani kagoma ku sign
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, anzisha chama kipya cha siasa (Advice to Dr. Slaa in public)

    Tanzania nzima Umemwona dr slaa pekee ndo anaweza kuleta mapinduzi nchini? Huo ni upofu wa kufikiri bila ya wananchi wenyewe kuelimika na kujitambua bado itakua ni kama kumpiga chura teke vijijini watu bado wajinga sana wasiojitambua huku wakiwa wamevarishwa taji la elimu duni na ujinga
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Neema kwa ukawa aisee vijana tumejitokeza kwa wingi sana cna hofu chinjachinja ya mboga za kijani inaendelea
  6. M

    JamiiForums Tanzania ITV wamekuwa hawaoneshi Mikutano ya CCM ya Kampeni

    Ni watanzania gani unao wazungumzia hapo, star tv bado haijakutosha hadi itv wakurushie mikutano ya ccm ndo usuzike roho?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    We ndo hujitambui ulikuwepo wakati wanarecord au huko kukesha umekeshanao wanakubandua acha za kike ww anagongwa mwingine halafu unakata mauno wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Ahsante mkuu kwa msaada wako ngoja nipande nao kwa hewa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    oy nisaidie jinsi ya kupata hizo mambo coz nimejaribu malanyingi sana kila niki open email yangu hakuna kitu au nichec kwa 0753467401
  10. M

    JamiiForums Tanzania Imethihirika CCM itashinda kwa urahisi kabisa kuliko miaka yote

    jinga kabisa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    mie pia nimechaguriwa hapo clinical medicine lakn cjapata joining hadi sasa na niliwapigia simu chuon akapokea jamaa fulan hv akasema wataweka kwenye email zetu lakini hakuna kitu hadi leo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha tu: Lowassa Mwanza

    acha ubwege ww unabishana na taarifa ya habari ? Nakukumbusha 2 hata huku ukerewe mafuriko hayakuepukika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    bira shaka fiesta bonanza inahusika hapo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaanza kuyaona yanapatikana ndani ya CCM, Hebu tuyapime matamshi haya ya wagombea

    Ushabiki na masirahi binafic ndani ya lichama lako yanakupa wazimu subr oct 25 ndo uje useme upuuu kama huo
Back
Top Bottom