Hakika ukombozi umefika Tanzania,dhuruma inayofanywa na serikali ya CCM isiyokuwa na nyuma wala mbele dhidi ya wananchi haikubaliki,ajira hakuna,dola imepanda huku dhamani ya hela yetu imeshuka,mafuta yamepanda,vyakula vimepanda,CCM inatuangamiza kisa wao wanamafisadi,pesa,polisi,ila Mungu...