Recent content by maunga

  1. maunga

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Mtoa mada hana akili tena ni mfinyu elimu, huwe acha wananchi wakitaabika na kukimbilia posho za bungeni akati wananchi hao hao ndio walikuweka pale jali maisha ya watu na shida zao kwanza mengine baada hongera wabunge wa chadema kwa kuwa sambamba na sisi watu chini,
  2. maunga

    JamiiForums Tanzania Aibu:kijana anaswa akiuza uume wa mtu polisi wamtia mbaroni

    Waganga nao wamezidi kudanganya watu!!!
  3. maunga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipotaka kumzaba makofi Anne Kilango.

    Kwani ni heshima mwanamke kubishana na mwanaume hadharani? Na je ndio maadili ya mwanamke wa kitanzania? Naomba jibu
  4. maunga

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kuna vyama vya Siasa vinaunga mkono hali ya Mtwara

    Jamani msiingize siasa kwenye mambo ya msingi fikirini kwa makini,
  5. maunga

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

    Hata kwenye vita askari wengine wanakufa kwa ajili ya watu wengine
  6. maunga

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri !

    kweli wameanza kushika adabu
Back
Top Bottom