Recent content by MAUMA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watapambana sana ila hawata weza kwani mwenye sifa na uwezo ndiye huyu

    vip tena povu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watapambana sana ila hawata weza kwani mwenye sifa na uwezo ndiye huyu

    Kweli tulihitaji madiliko ndani ya UVCCM, Kwa uteuzi wa ndugu SIMON MATHIAS KIPALA ni zaidi mageuzi makubwa tunatarajia kuyaona UVCCM. Chama Cha Mapinduzi ni chama imara na sikivu ndiyo maana watanzania wanazidi kukiunga mkono. Jitiada kubwa za mwenyekiti wetu ndugu JPM kuzidi kukiimarisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM ilikuhitaji kabla ya uteuzi wako

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni Cha Kongwe Afrika na Dunia huwezi kukitofautisha na chama kama Communist Party of China(CPC) na African National Congress(ANC) cha Aftica Kusini. Pamoja na ukongwe kwa umri ni chama chenye historia ya kusimamia maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa. Chama Cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    So good.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi tamu: Hisia zangu

    Nimeumia sn, utafikili mie ndie Edo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi tamu: Hisia zangu

    leo ndio j/3.
  7. M

    JamiiForums Tanzania LISSU : Wasaliti Wajiandae kuwa Wabunge wa Mahakama

    Hiki chama cha kipuuzi kweli kila kiongozi ana mamlaka ya kufukuza kiongozi mwenzake. hiki kikundi cha wahuni sio chama
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM washikana uchawi musoma

    Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Jamani nashangaa sana kuona CHADEMA kutumia nguvu nyingi kukizushia chama ACT kwa watanzania 1-Kutapatapa kwa Chadema ni dhaili sasa wanaporomoka kisiasa wanatumia nguvu kubwa kuzusha uzushi usio na maana kwa ACt. 2-Ajenda ilikuwa katiba kujisakia umaarufu kupitia UKAWA wameona wananchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

    Tuwe wa kwel jamani kama hujui kitu nyamanza sio kujitaftia umaarufu humu
  11. M

    JamiiForums Tanzania KINANA azidi kuitaabisha CHADEMA

    Kifo hicho cdm
  12. M

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM .Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la TANZANIA DAIMA halina tofauti na gazeti la KIU

    Ni wazushi na waongo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la TANZANIA DAIMA halina tofauti na gazeti la KIU

    Ni wazushi na waongo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la TANZANIA DAIMA halina tofauti na gazeti la KIU

    Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa RUAHA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA .Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza...
Back
Top Bottom