Gazeti la TANZANIA DAIMA halina tofauti na gazeti la KIU

Status
Not open for further replies.

MAUMA

Member
Oct 16, 2012
33
7
Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa RUAHA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA

.Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza maswali wakapata majibu yaliyowalidhisha wakashangilia vya kutosha mpaka sasa ni gumzo hapa ruaha ujio wa katibu mkuu

.mkutano ulivyomalizika tulimsindikiza katibu mkuu kwa shangwe la kutosha. vijana wa CCM waliondoa jukwaa mpaka saa moja na nusu jioni; labda kama wao wafuasi wa CDM walimsubiri kiongozi wao wa chadema saa nae usiku akawahutubia sawa

.Hakuna kama CCM hapa ruaha hawa wapinzani wanahaha na maneno ya udaku kama lilivyoandika gazeti la TANZANIA DAIMA
TUKUBALI SASA WATU WAMEANZA KUPOTEZA IMANI NA CDM ILA INAJITAIDI KUJISAFISHA KWA KILA HALI ILA MFA MAJI AACHI KUTAPATAPA.

ANGALIA HOTUBA YA MBOWE YANI NI ZAIDI KINYAA KWA WATANZANIA KAMA TUNGEMPA NCHI ANGETUPELEKA WAPI?
watumishi wagazeti la TANZANIA DAIMA kwa kuwa mmiliki wenu ni ZERO nanyi hamtakiwi kuwa ZERO kama mmiliki wenu wa gazeti, WATANZANIA WA SASA HAWAHITAJI UZUSHI NA UONGO USIO NA MAANA
 
Elimu yako nayo ya kuungaunga hata kuandika nako taabu!! shida kubwa hujajitambua kabisa maana ungejua tatizo lako la kutojua kuandika kwa ufasaha ni sababu ya elimu duni uliyopata toka kwa wezi hawa CCM usingekuja na uharo huu. Sisi wote ni mashuhuda maana ITV walionyesha sasa wewe na huo uongo umetoka wapi!!??
 
Acha ushabiki mimi nilikuwepo ....Kinana na ujumbe wake walipata aibu. Labda kama wewe unaota endelea kusoma Uhuru, Mzalendo na habari leo
 
Mau, ww ni mpumbavu labda ukachukue posho Ofc ya majambazi pale Lumumba, upende ucpende Kinana mkuu wa ujangili amesomewa na watu wenye uchungu na taifa lao, Hii aibu ya kutetea ccm hakika itawamaliza daima hawa ni majambazi wa mali za umma tutawasomea daima na wewe ni mpumbavu daima nenda zako ukachukue posho ya usaliti kwa kujiuza kama takataka mbele wa wauaji na wanyonyaji wa mali za umma.
Imekuuma sana ila ndio habari.
SHAME UPON YOU AND CCM PARTY.
 
Nilijua lazima wale jamaaa lazima waje humu, haiwezekani mtu ulipwe ujira halafu usiifanye kazi uliyotumwa.
 
Kwanza gazeti linasema kinana na nape walizomewa wakiwa Ruaha, we umesema upo kilosa, hata kama ni wilaya 1 sehemu ni tofauti. A'fu jaribu kutumia lugha nzuri kenge wewe.
 
Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa KILOSA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA

.Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza maswali wakapata majibu yaliyowalidhisha wakashangilia vya kutosha mpaka sasa ni gumzo hapa kilosa ujio wa katibu mkuu

.mkutano ulivyomalizika tulimsindikiza katibu mkuu kwa shangwe la kutosha. vijana wa CCM waliondoa jukwaa mpaka saa moja na nusu jioni; labda kama wao wafuasi wa CDM walimsubiri kiongozi wao wa chadema saa nae usiku akawahutubia sawa

.Hakuna kama CCM hapa KILOSA hawa wapinzani wanahaha na maneno ya udaku kama lilivyoandika gazeti la TANZANIA DAIMA
TUKUBALI SASA WATU WAMEANZA KUPOTEZA IMANI NA CDM ILA INAJITAIDI KUJISAFISHA KWA KILA HALI ILA MFA MAJI AACHI KUTAPATAPA.

ANGALIA HOTUBA YA MBOWE YANI NI ZAIDI KINYAA KWA WATANZANIA KAMA TUNGEMPA NCHI ANGETUPELEKA WAPI?
watumishi wagazeti la TANZANIA DAIMA kwa kuwa mmiliki wenu ni ZERO nanyi hamtakiwi kuwa ZERO kama mmiliki wenu wa gazeti, WATANZANIA WA SASA HAWAHITAJI UZUSHI NA UONGO USIO NA MAANA
bwahaha uongo mwingine bana....mbona IP yako unaonekana una log in toka Dar acha kujiaibisha arifu...IP inaonekana wazi wazi kabisa
 
we kweli ni mkazi wa kudumu wa kilosa,nakushauri ukae huko huko,usije mjini
 
duuh! huyu jamaa ---- sana anatudanganya sisi wakati tunajua wapi alipo acha umbulula wewe
 
Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa RUAHA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA

.Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza maswali wakapata majibu yaliyowalidhisha wakashangilia vya kutosha mpaka sasa ni gumzo hapa ruaha ujio wa katibu mkuu

.mkutano ulivyomalizika tulimsindikiza katibu mkuu kwa shangwe la kutosha. vijana wa CCM waliondoa jukwaa mpaka saa moja na nusu jioni; labda kama wao wafuasi wa CDM walimsubiri kiongozi wao wa chadema saa nae usiku akawahutubia sawa

.Hakuna kama CCM hapa ruaha hawa wapinzani wanahaha na maneno ya udaku kama lilivyoandika gazeti la TANZANIA DAIMA
TUKUBALI SASA WATU WAMEANZA KUPOTEZA IMANI NA CDM ILA INAJITAIDI KUJISAFISHA KWA KILA HALI ILA MFA MAJI AACHI KUTAPATAPA.

ANGALIA HOTUBA YA MBOWE YANI NI ZAIDI KINYAA KWA WATANZANIA KAMA TUNGEMPA NCHI ANGETUPELEKA WAPI?
watumishi wagazeti la TANZANIA DAIMA kwa kuwa mmiliki wenu ni ZERO nanyi hamtakiwi kuwa ZERO kama mmiliki wenu wa gazeti, WATANZANIA WA SASA HAWAHITAJI UZUSHI NA UONGO USIO NA MAANA
mkuu umeandika kisiasa sana kiasi kwamba hata kukuamini inakuwa kazi ngumu.
UMECHANGANYA HOTUBA NA YA KILOSA HILO NIKOSA KUBWA MBONA HUJAONGEA HOTUBA YA PINDA BASI NDO AMBAYO ITAFANYIWA KAZI NDUGU!
 
Naape kakutuma uje kukanusha...ukweli ndio huo mmezomewa baada ya kushndwa kujbu swali la kampun ya bosi wenu kuhujumu uchumi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom