Tukiwa mazishini huwa tunazungumzia historia ya marehemu mhusika.
Sawa na hili. Tunazungumzia haya kumshikamanisha mzalendo wetu na maamuzi yasiyona tija kwa taifa. Na yote yanamhusu yeye.
Katiba mpya ingesaidia kuonesha njia ,kaifunika.
Mikutano ya wenzie ingempa mawazo mbadala,kaifunika...
Upuuzi, tena upuuzi mtupu.
Mbona hatukuwasikia kabla mkitueleza kuwa wanasiasa wenye hila wanaingilia manunuzi ya bombardier yetu.??¿
Mlikuwa mkisubiri nini????
Mbona hata sasa hamjibu maswali mloulizwa na wazalendo waliotushirikisha hili jambo.???
Hivi kwa nguvu ya Serikali hii hao wanasiasa...
Kiukweli lazima taifa lifanye vitu kiustaarabu. Mikurpuko hii haitufikishi popote.
Hawa jamaa watatuburuza sana, na hawana huruma kabisa na sisi.
Ukiwabana hapa wanafungua mlango mwingine wa kutuburuzia.
Makampuni haya ni ya kwao, na Mahakama ni za kwao, na wanasheria ni wa kwao. Tunapenda...
Excellent! Lkn inaonekana kuna ukweli kuwa kuna mambo tunakurupuka na kwahiyo yanatugharimu.
Serikali iwe wazi kwetu kwenye mema na mabaya. Tunungishwa mkono mengi tusiyoyajua vizuri. Je kila anayefichua siri fulani ya makosa ya Serikali yetu katumwa kukwamisha ujenzi wa Tanzania ya Viwanda...
Sasa tujulishe ulivyoyapata na malengo yake.
Huenda hukupata kwanjia sahihi. What comes around goes around.
Kuchimba kisima kirefu na kuweka Mashine na mifugo 200 ndo Aina ya uendelezaji wa mashamba wa awamu ili mliyoongoza nyie. Kwa hawa wenzio sasa hilo ni sawa na sifuri.
Nashauri uende tu...
Every thing is open in his song. He tells us the truth of who his enemy is and unfolds the fact of the rulers we have now
He also shows clearly his innocence, and of course the worry as to why the investigation is delayed.
The video also tells it own story. You watch it once and you know those...
Naona wazi kuwa Mh. Mnyika alikosea. Lkn naona pi wazi kuwa mh .spika alikosea hata zaidi. Adhabu na kosa havilingani kabisa.
Ingetosha tu kumtoa Kikao kimoja.
Aibu kwa kweli. Sababu mojawapo ni ukosefu wa Maji na mafuriko yasiyona ratiba. Mji huu wataalamu wanatakiwa kuandaa plan ya drainage kwa mitaa yote. Inatakiwa mitalo kila nyumba ,kila ubalozi na kila kata. . Kama nchi hii kuna ma engineer basi kazi IPO Morogoro. Miundo mbinu ya kuondoa Maji .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.