Recent content by Maulidi guga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    mlio fanya usaili jamani tupeni maelekezo maswali ni yapi haswaa..?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hivi jamani mtu anaweza akawa kwenye database zaidi ya myaka mitatu...?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    umeongea kikubwa sana.......balikiwa ......sema sio kalibu na mawasiliano yao changamoto
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari wana JF. Naomba kuuliza nawezaje kubadilisha fani kwenye account yangu ya PSRS mana nimekosea nikaweka kada nyingine ambayo sina kwenye academic qualification hivyo naomba kazi inakataa na haiwezi kubadilika kuja chini ila inataka kubadilika kama ni kada ya elimu ya juu...na maanisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    amna wao wenyewe tu ndo wamepiga cm....2019
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ni kweli nilisha kutana na hiyo ndoige baba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    jamani naomba niulize kitu. hivi majina kwenye database yanakaa kwa muda maarumu na kufutwa au...? alafu mfano mtu akaitwa na taasisi furani kwa simu akiambia jina lakotumetoa utumishi kwenye database alafu mwishoe kapeleka viambatanisho vyake akaambiwa atapigiwa cm mwisho wasiku baada ya...
  9. M

  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    NAOMBA KUJUA MASWALI YANAYO ULIZWA KWENYE USAILI WA MAGEREZA. KWA WALIO WAHI KUFANYA WILAYANI..?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi was mkoani ndo wanenda checking majina kwenye mkoa walio ombea sio. ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Calculator zinazoruhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa kidato cha nne

    Naomba kujua culculator zinazoruhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu wa kidato cha nne
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Habari ndugu naomba kujua ni culcultor zipi zimeluhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu kidato cha nne..?
Back
Top Bottom