Nyie ndiyo watu mliokulia ndumba kwenye nyumba zenu! Pumbaff! Ingekuwa ndumba zinafanya kazi hiyo Simba si ingekuwa ilishaingia robo fainali asubuhi kweupe? Kwa nini bado inachechemea!
Ina maana hata wageni wakija kuwatembelea wanakuta mpo kwenye mtalimbo? Au mnawakaribisha sebuleni halafu nyinyi mnaingia kwenye mtalimbo? Basi huo utakuwa umepinda kama NDIZI!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.