Recent content by maudambwi

  1. M

    St Joseph ni jipu

    Wengi humu kama complex & hammer nahisi hamuelewi jinsi hali ilivyo. Ada mil 2.7 alafu huduma mbovu kila idara. Haki zetu nyingi kama mikopo serikalini tunacheleweshewa kwa sababu tusizozijua. Na haya malalamiko hayajanza leo ni miaka mingi tu. Sasa leo hii tunadai haki wanafunzi zaidi ya 3000...
  2. M

    St Joseph ni jipu

    Chuo cha st joseph cha engineering & technology kilichopo mbezi luguruni ni mmoja chuo ambacho hakiko kwenye ubora wa kutoa mafunzo ya uhandisi. Why? 1. Chuo hakina qualified lectureres wa kutosha hasa hasa senior lectureres. Hakuna prof hata mmoja huku madocta hwazidi wa4 na wamebobea kwenye...
  3. M

    God vs satan

    Am for god
  4. M

    Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

    unamatatizo. unaitaji mxaada. huyu diamond cjui anawapa nn mnajisahau kiasi hki
  5. M

    Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

    ww akili yako cio nzuri soma hiyo sheria hapo juu vizuri. vazi liwe au lisiwe la JWTZ ila lina mfanano wowote tayari ni kosa. we kawe wakili mirembe.
  6. M

    Top hiphop artists in Tanzania

    nipeni wasaanii japo watano wakali wa hiphop tz. kwa wadau 2 mi cmjui ney wa mitego
Back
Top Bottom