Recent content by Maubero

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Unaamini ukata uko kwa wote?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Mke wa Waziri Mahiga na Traffic Police aliyetakiwa kupandishwa cheo

    Unatafuta namna ya kumtetea huyo mama?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hii nchi itakutia uchizi

    asigwa hii habari MCC ni ya ukweli? Unaweza leta evidence?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Beatice shelukindo?

    Hujamuona kwa lowasa jana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta aanikwa uovu wake

    Duh! Na mkeo kapewa mgao wa laki moja tu? au kaleta hela pungufu nyumbani? Je amekuambia na vingine alivyopewa na mzee sitta. Hebu muulize vizuri mkeo ndio urudi tena huku.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chuo kizuri cha Serikali kuaply Medical Doctor

    MD programme pia ipo KCMC, CUHAS, KAIRUKI, IMTU NA ST FRANCIS.kote huko utapata udhamini wa serikali, na ukimaliza degree ni hiyo hiyo.hakuna degree ya MUHAS wala UDOM peke yake.wote mnaingia kwenye soko moja la kutafuta ajira.sio lazima uajiriwe na kufanya kazi ya kutibu peke yake.kuna vyuo...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    Miaka 10 ya ndoa mingi.hebu kaeni muongee.kuna mahali wote mmekosea.usimfukuze, kitendo cha wewe kugundua kosa lake ni adhabu tosha kwake.mpe muda ajifunze.ukimuacha utaoa Mara ngapi.kaeni mzungumze naamini mtamaliza suala hilo wenyewe bila mtu mwingine kujua siri yenu.ukiona moyo unakuuma sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Marehemu kutokwa na jasho !

    Jasho au barafu inayeyuka?mwili wake haukuwa kwenye friji mochwari?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Logo shilingi 10,000/= tu

    tuwekee samples tuzione
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mbowe, kesho rasmi narudisha kadi ya CHADEMA mtaa wa Ufipa

    Makaura ulisahau kumeza dawa.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni deo gani huyu?????????????

    Hahahah!sio kupenda tu, ni pamoja na kuendekeza utelezi
  12. M

    JamiiForums Tanzania tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

    tafutaneni kwenye inbox
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

    Huyu jamaa, atajuta kuoa kahaba mzoefu.ujumbe gani wa kumtumia mume, na kwanini amtumie ujumbe wakati wanaonana kila siku.
Back
Top Bottom