1974hrs
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 741
- 536
Umepotea kidogo mkuuhamna lolote ni usanii mtupu nchi hii aliye iharibuu ni nyerere na CCM. CCM wote ni mijizii tu huwezi kuwa mwizi kama si CCM na huwezi kuwa CCM kama sio mwizi. miaka hamsini na mbili ya utawala wa CCM hamna lolote la maana walilofanya na wala hawawezi kufanya lolote la maana zaidi ya wizi. huwezi kuendesha nchi kama hakuna system hapa hapana isipokuwa ni vurugu tupu haijulikani mahakama, wala polisi, wala jeshi, wala wakuu wa mikoa ni ujambazi tu wote hao wapo kwa ajili ya kuilinda CCM kwasababu wanapata kuiba na Rushwa kweli nchi hiyo itaendesheka
Hebu rudi kwenye mstari,hoja haihusu ccm