Recent content by matyoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    well noted mkuu,thaxs.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Duu, hataree:(:(:(
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Thaxs for a good advice, it must stick to the mind,but some company and organisations they have their scales..We better know first their ranges through investigation.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Nashkuru mkuu.., inabidi nitaje angalau kiwango kinachoridhisha maana mtaani hali tete.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Habarin wana JF, Ningependa kujua mshahara au kipato kwa nafasi za sales, sales representative, freelencer . kwa waliowahi kuwepo pale au waliopo itakua vizuri zaidi... Hili litasaidia ku bagain katika interview. Thaxs.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

    kwa takwimu za umaskini hapa TANZANIA , je MWANZA ni ya ngapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    kurupuka style hiyoooooooooooo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    ndo wale waliopewa kanga,vitenge, kofia.......hana hata aibu kuongea pumba kwenye reality....kila kitu kwake yes...unaweza kuta muuza papuchi hana hofu mana ma pedeshee wanatumiamo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Ha..ha.ha..umenena kweli mana ILBORU ulikua DOM leader..,na stori zako tulizikuta pale..big up sana..oldonyo, meru,kibo nafkir unakumbuka hayo majina.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Duu, unataka kuchomekea apo ila inabidi Mheshimiwa akubali mana tupo nae kwenye jukwaa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

    Acha ubishi uchawi upo,......kuna jamaa walipaa na ungo pale mawasiliano ubungo mchana kweupe na watu kushuhudia..ili wawaonyeshe ambao hawaamini......NATAMANI UNGEKUWEPO SIKU HIYO HALAFU UONE.....Hata biblia na misahafu vinasema uchawi upo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waliositishiwa ajira zao na serikali na wanaotegemea kuajiriwa leo wanaongea na waandishi

    kweli mkuu......naskia wanalipa visasi..kwa vijana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Press kuhoji utolewaji wa ajira mpya. 15-10-2016.

    NALIPA KISASI , MLINISUMBUA SANA NINYI.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajira serikalini kumwagwa

    Mabadilikoooo....., mabadiliiikoooo, mabadilikooooo......L.O.W..., Nyie c vijana mlikua hamnikubali....hasa wa vyuo.....MTAISOMA NAMBA SASA..NDO MALIPO YENU HAPAHAPA HAKUNA KUREMBA.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    ndiyo tunao, leta jipya..
Back
Top Bottom