jamani waungwana ninasimu yanu aina ya acer model E320 Imepasua kioo kwa yeyote anayejua ninapoweza kupata hiyo touch na kioo naomba msaada wake wa maelekezo
Jamani hayo ni maoni ya huyo mwana JF sa tusiwe na haraka jamani bado visiku kadhaa tu tutakutana kwenye ulingo huu kufanyia kazi maoni ya huyo ndugu yetu
Twaweza kusema hawajui ni nini watakachoongea igunga au ndo tuseme inakua kibalua kikali kwao je wakati wa kampeni waseme yakwamba mgombea wao ataendeleza yale mema aloyaanzisha Rostam wakati mema yenyewe hayapo kama wanafiki wengine wanavyowadanganya wana igunga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.