Wengine wanakuwa wamependa kweli, sasa kama ameaminishwa hivyo atajua mawazo ya mwenzake!? Kosa ni la wanaume, ndoa siyo tendo la ndoa pekee au kuzaa tu, kuna mambo mengi yenye kuleta ustawi na heshima kwa jamii. Vijana oaneni, wazazi wetu nao wangefanya kama baadhi yenu mngekuwa machokoraa!
Tuume na kupulizia, hakuna ajuaye kesho yake ndio maana tunaishi kwa kujihami. Tunaweka akiba ya fedha na kumheshimu kila mtu kwasababu hatujui nani atakuwa nani kesho na wewe utakuwa nani kesho.
Binafsi huwa napenda sana "opposite" ya aya hii kutoka kwenye msahafu isemayo, "usilotaka kutendewa...
Hata hivyo bado si suluhisho, kama ni wataalam mbona kila mwa wataalam wanazaliwa kibao tena vitoto vidogo kabisa. Umri Miaka 50 unatosha ili inayo baki 20 kama ipo mtu ujiandaye vema juhitimisha safari. NB. A young man may die, but an old man must die.
Sent from my FIG-LA1 using JamiiForums...
Mkuu uko sahihi 100%. Hata kesho wafanye hivyo, tumshawishi waziri wa kazi, ajira, vijana..... awasilishe mswada maalum Bungeni. Binafsi nitaunga hoja mkono 100%.
Nakubaliana sana na wewe! Hata hivyo, baadhi ya kumbukumbu zinaonesha kuwa kuna men walifanya mambo ya ki-utu uzima wakiwa chini ya umri wa 25yrs. Familia na jamii alikokulia mtu + education (formal and Informal) vinachangia makuzi ya mtu.
Kwa umri huo! baada ya miaka hiyo miwili ya kupika na kupakuwa mlifikia hatua ya kufunga ndoa au hajafunga ndoa!? Je, ulishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya huyu! ishu yenu naiona so complex!! Angalieni msipoteze nguvu na muda mwingi!
Yaani huku kuchepuka kuna mambo mengi! Si mshauri mwanamke achepuke coz hatuna precendent ya mwanamke kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja. Midume mingine ni ulimbo ukigusa kujinasua ipo kazi! ndicho kilichotokea kwa huyu mtoa mada, shangazi alisahau kabisa kuwa ana mume!
Du! nimeisoma hii - aaiissee!!? kumbe duniani ni wawili wawili! mbona huu uzi umezunguka kwenye viuno vyangu! Leteni ufumbuzi basi, hujafa hujaumbika. Haya yapo waheshimiwa!
Kama situation iko hivo, yamkini ya naweza kutoka mauaji ktk dhana ya "tukose wote". Inafaa huyu kaka a jiandae kisaikolojia ya kuacha a na huyo shem ili shem aende Lee na huyo ex wake maana inaonekana penzi la mzazi mwenza lime-rejuvinate. It's difficult to renounce.
Yaani itakuwa kila unapokuwa ktk wajibu wa kulinda ndoa ukikumbuka kuwa Kuna jamaa anauliza hapa, epitaiti zote zinakata. Unabaki unautafuta mguu wa Tatu umepotelea wapi! Yataka moyo, mimi inaweza kunitesa mno!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.