Recent content by Matunzo 02

  1. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Ila watu bana wananishangaza sana

    Ukiamka unawe uso
  2. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania JF underdog understand.

    Kama hatuelewi tukae kimya?
  3. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Leo nawapa/fundisha dawa ya kuku Kwa ugonjwa wa kideri au Newcastle Bure inatibu Kwa 80%

    mkaa wa jikoni unauponda ponda au unauwekamo tu mzima mzima?
  4. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

    tafta mazingira yanayokulazimisha ufanye.
  5. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    reasoning is a best inategemeana na muda uliopo wa kufanya maamuzi. Kuna maamuzi mengine ukisema utumie reasoning unakuwa huna muda inabidi tu utumie intuition.
  6. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

    nakuelewa mkuu unachokiogopa kifanye ndo dawa ya kutoka kwenye mfungo huo
  7. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Leo nawapa/fundisha dawa ya kuku Kwa ugonjwa wa kideri au Newcastle Bure inatibu Kwa 80%

    mkuu nipe ujuzi nataka nianze kufunga kuku wa kienyeji na chotara
  8. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    sio mara zote ni sahih ila kizuri ni kutumia zote intuition na reasoning ndo zinaleta matokeo bora
  9. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

    2kor 5:17 Sasa hivi wew ni kiumbe kipya ya kale yamepita. Futa kumbukumbu hizo wanawake ni watu mwenye upendo sana. Ukianza kuagalia kwa mtazamo tofauti utajua ukweli naousema.
  10. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

    tunaishi kwa furaha ukileta ujinga tunakuacha na ujinga wako sie mbele hatumpagii mtu maisha ila ukiigia kwenye maisha yetu tunahusika na ww
  11. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    ndy na vile nafanyaga meditation kwang bora intuition kuliko reasoning
  12. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Uzi wa mawazo ya usiku

    wanaume tunamengi sana tunapitia unaweza kuvaa viatu vyang ukashidwa kutembea
  13. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Leo nawapa/fundisha dawa ya kuku Kwa ugonjwa wa kideri au Newcastle Bure inatibu Kwa 80%

    Mkuu unafunga kuku wa kisasa au kienyeji?
  14. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mkuu unataka usawa kwenye dunia hii iliyojaa manyanyaso, uonevu, dhuluma?
Back
Top Bottom