Recent content by Matungwa g'Omukama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mfano wa kuigwa, aenda mahakamani kumpa sapoti Tundu Lissu

    Yes anajua kucheza na mind za watu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Sasa najiuliza anshitakiwa mtu au inashitakiwa kampuni? wenye ufahamu kisheria watueleweshe!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    Kwa Tanzania ilipo sasa tunhitaji mtu mwny nguvu ya ushawishi,kufanya maamuzi magumu na makini na pengine dikteta ili tutoke hapa tulipo na kusonga mbele!! Huyu si mwingine ni Edward Lowasa!!! Jembe la kutegemewa!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Hivi ni lini katangaza kugombea urais! Hajatangaza nia unaaza kutokwa na povu; akitangaza si utajinyea?? Kama huna hoja ya kupost kaa kimya, pita soma za wengine zenye maana usonge mbele!!! Wewe ni daktari wake hadi ujue anaumwa nini?? Hata km ni daktari ushapoteza sifa maana ni mwiko kutoa siri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wanajamvi

    Hodi hodi!!Jamani nimechoka kuwa msomaji tu wa kupita! Nimeona nijisajiri na kuwa mwanafamilia hii maana kuna mambo mengi mazuri!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Mbona Nyerere alikuwa waziri mkuu kabla ya kuwa rais wa JMT???
  7. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atembelea msikiti wa Mtambani ulioungua, ahuzunishwa kwa yaliyotokea

    Anatembelea km raia huru wa kawaida!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na mapendekezo yake!! Wale wanaotukana wenzao humu ndani jitafakarini!!! Kimsingi Edward Lowasa anafaa kuwa rais wa JMT!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atembelea msikiti wa Mtambani ulioungua, ahuzunishwa kwa yaliyotokea

    Mwanaume mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu na yakinifu si mwingine kwa sasa hapa Tanzania bali ni El! Nakumbuka enzi zile akiwa PM matukio ya kimaendeleo yalivyokuwa yakiongozana mara pm kafanya hivi,mara kafanya vile!! Watu hamkumbuki jamani??? Hebu imagine amepewa majukumu makubwa zaidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Jamani!mimi ninafikiri kila raia wa Tanzania anayo haki ya kidemokrasia ya kumwezesha kutamka kilichomo akilini mwake! Tusiwahukumu watu wanapotangaza nia bali tusubili wananchi walio wengi waamue kwa njia ya kupiga kura endapo vyama vyao vitawapa ridhaa ya kupeperusha bendera zao!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

    Naunga mkono hoja!!"he is a man of actions!!"
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

    Hii imetulia!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

    Mbona hakusema hayo yote kabla? Hii yote ni defensive mechanism ila haitamsaidia chochote! Anazidi kujishushia heshima!!
Back
Top Bottom