Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

mtatoka povu bureee!! mamlaka ya mwisho ni wajumbe wa kamati kuu ya CCM, swali E.LOWASSA atapita kama mgombea wa ccm?!
 
Kwa Tanzania ilipo sasa tunhitaji mtu mwny nguvu ya ushawishi,kufanya maamuzi magumu na makini na pengine dikteta ili tutoke hapa tulipo na kusonga mbele!! Huyu si mwingine ni Edward Lowasa!!! Jembe la kutegemewa!!
 
Namkubali Lowasa kwa ushupavu kwani alipokuwa PM alikuwa na uwezo wa kumuita Waziri yeyote ajieleze pale anapoonyesha udhaifu lakini huyu Pinda anasubiri wakina Kinana na Nape ndio wamsemee kuhusu udhaifu wa Mawaziri wa CCM. kwa hiyo kwa ushupavu huo hata akipewa nchi nidhamu itakuwepo.
 
mtatoka povu bureee!! mamlaka ya mwisho ni wajumbe wa kamati kuu ya CCM, swali E.LOWASSA atapita kama mgombea wa ccm?!

Atutoki povu kwani Lowasa kama akiwa hai lazima awe Rais kama sio kupitia CCM basi atapitia upande mwingine kwani ana sifa ya uchapa kazi kitu ambacho kinatushawishi wananchi kumpatia haya madaraka ya juu kabisa ya nchi hii.
 
Zile tuhuma za ugonjwa vipi, mbona hamsemi vile anavyotetemeka, tunampeleka rais mgonjwa ikulu?
 
Ndugu zangu, leo naomba tuweSERIOUS na tutoe maoni ya maana katika mustakabali wa taifa letu. Kwakuwa 2015inakaribia na kwakuwa hata CHADEMA wanajua fika Rais atatoka CCM na kwakuwa tukimchagua Rais feki ndio itakuwa imekulakwetu kwani atakaa madarakani hadi 2025, hivyo basi tuchangie maoni kuhusukufaaau kutofaa kwa ndugu yetu EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN.Kuna makundi mawili yanayomuhusuhuyu bwana. Moja ni la wale wanaomuunga mkono kwa asilimia 100. SABABU ZAO KUMI za kumuunga mkono na kuona anafaa kwendaIKULU ni hizi
  1. Nimchapakazi hodari
  2. Sio mwoga wala mnafiki
  3. Nimwepesi kutoa maamuzi magumu sio kama viongozi wengi wa CCM
  4. Nimbunifu wa mikakati, mpenda maendelea na ndio maana jimbo lake la Mondulilimepiga hatua kubwa kimaendeleo
  5. Nimwepesi kutafuta njia mbadala mambo yanapokuwa magumu
  6. Anafikra mpya za kisasa, ni mkali sio mtu wa kuchekacheka
  7. Anathaminisana umuhimu wa vijana na elimu
  8. Nimtu wa watu na anafanana sana na kipenzi chetu EDWARD SOKOINE
  9. Siomtu wa kukaa ofisini bali huzungukia kwa wananchi kujua na kutatua matatizo yao
  10. Anauzoefu mkubwa wa masuala ya uongozi na masuala ya Kimataifa
Kundi la pili ni lile la watuwasiomuunga mkono ambao wanaona na kuamini kwa asilimia 100 kwamba LOWASSAhafai kwenda Ikulu bali anapaswa mwaka 2015 kwenda SEGEREA. Hoja zao KUMI zakuwa na mtazamo huo ni hizi hapa:
  1. NiFisadi numero uno hapa TZ
  2. Nimla rushwa mkubwa
  3. Nimtu mwenye kuamini ili uwe kiongozi lazma uhonge wapiga kura
  4. Nimtu anaeamini ili yeye mambo yake yawe mazuri lazma ihonge ili wapinzani wakewasipate kura za kutosha kama alivyofanya kwa Sumaye (Hanang) na akafanikiwa ambapoMARY NAGU alishinda na kama alivyotumia mabilioni kwa MEMBE-NEC Dodoma iliMEMBE asipite lakini familia ya JK na wengine wakamzidi LOWASA ujanja.
  5. Nimpiga dili mkubwa-akiwa kitengo cha mafaa kwa PM alipiga dili za kufa mtu,akiwa AICC alifanya hivyohivyo, akiwa Waziri wa Ardhi miaka ya 1990s aliwauziawahindi viwanja kwa mamilioni ya fedha na kutajirika vibaya sana. Kwa kugunduliwaoil and gas, jamaa akiingia MAGOGONI atapiga dili za kufa mtu.
  6. LOWASSAhafuati Rule of Law ambapo anaweza kuwafukuza wateuliwa wa Rais katika mikutanoya hadhala
  7. Nimtu mwenye chuki kali kwa wote wanaepingana nae na ana visasi sana
  8. Hapendikukosolewa
  9. Nidikteta
  10. Anauchu mkubwa wa kwenda Ikulu ambapo nimahala patakatifu lakini yeye na genge la marafiki zake “FRIENDS OF LOWASSA” wanatakakwenda kupageuza IKULU kuwa mahala pabiashara na kupiga madili.Haya ni maoniambayo kwa kipindi kirefu sasa yamekuwa yakisemwa na makundi haya mawili.ANGALIZO- Inawezekana mambo yote hapo juu sio ya kweli hivyo nawatakeni GREATTHINKERS mtoe mawazo yenu KWA HOJA NASIO KUTOA MAPOVU KAMA MMEKUNYWA OMO.JE EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN ANAPASWAKWENDA IKULU AU SEGEREA?THE BALL IS INYOUR COURT.

Ingependeza sana kama ungejinadi wewe tusiekujua uweke sera na maono yako ili tukufanyie kampeni uingie Ikulu,haya mambo ya huyu ndiye anafaa yameifikisha hapa, na huyo unayemnadi hana tofauti na huyo aliyepo! Jinadi wewe mkuu.
 
Tanzania tunayoiendea 2015 inahitaji kiongozi mwenye maono na aliye thabiti wa kuchukua mamuzi mazito hata kama wachache wataumia lakini vizazi vijavyo viishi kwenye neema. mimi nafikiri Lowasa anafaa tena sana.
 
"Siku moja akatokea kiongozi wa
Taifa letu, akatuambia huko nje
kuna hela nyingi kuliko hapa
nyumbani, mwambieni wewe ni
mpumbavu" Mwalimu J.K.
Nyerere.
"Kama kuna mtu ambaye
anaamini nchi hii inaweza
kuendelea kwa kusaidiwa,
anajidanganya, Narudiia tena,
Katika nchi hii kama kuna kiongozi
anaamini nchi inaweza kuendelea
kwa kupewa misaada,
anajidanganya" Benjamin Mkapa.
"Unapoenda kuomba siyo
kwamba wewe unapenda tu
kuomba. Huko nje kuna mataifa
yenye hela nyingi tu,
unachotakiwa ni kujieleza,
wakikuelewa, watakupa" Jakaya
Kikwete.
 
Tunawasubiri na katiba yao watueleze gharama iko wapi hapa,serikali mbili zenye wabunge 357, wakuu wa mikoa 30, nawabunge 75 ?
Watatueleza kitendo cha kukataa maadili ya uongozi,nchi hii wanataka itawaliwe na wezi wasiokamatika?
Watatueleza kwa nini wanakataa miiko ya uongozi wanataka bora liende kwa faida ya familia zipi?
Hapa watatueleza tu na Richmond pamoja na Tasaf na mifuko ya kunenepesha wakubwa!
Ccm 2015 mtajuta

Sema unamuhitaji wewe siyo unawasemea watanzania.
 
Hii inaweza kuwa nilaana kama vijana tutakuwa na mawazo mgando kwa kupewa vielf kumikumi nakuanzakupotosha uma hii ni hatari sana kama kunawatu wanahangaika kufua kaniki ili iwe na rangi nyeipe .EL nifisad tu.
 
Back
Top Bottom