Recent content by matunge

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kukaa hapa kwenye nafasi hii nimechoka kweli, kazi hii ni mateso, unaweza kujiuliza haya ni maisha gani, maisha haya ni magumu

    Shalom ndugu zangu waTanzania, Wengi tunaomfuatilia Mheshimiwa Rais Magufuli tumemsikia mara kadhaa akilalamika kuhusu ugumu wa kazi ya Urais wa Tanzania na kuwa amechoka kuongoza. Hivyo hatokawia kuondoka madarakani mara tu muda wake wa miaka mitano utakapokamilika. Naamini itakuwa mitano...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayetukwamisha, ni ushindani wa biashara, kufaidika na keki ya dunia kunahitaji mbinu na weledi siyo siasa za kulaani majukwaani

    Salaam, Miaka yote tangu kupata uhuru, nchi za Africa, Tanzania ikiwemo, zimekuwa zikifanya siasa za kulaani nchi za magharibi zikiamini kuwa umasikini na matatizo ya nchi zao ni matokeo ya nchi za magharibi kuhodhi uchumi wa dunia. Viongozi wa nchi na wanasiasa wa Africa mfano Julius...
  3. M

    JamiiForums Tanzania John Magufuli, Rais mwenye kubeba imani ya watu wa kipato cha chini, A Populist Leader

    Dhana ya 'populism' siyo nzuri kuitumia hasa kwa mtu unayeona anafanya vizuri. Hivyo naona kama vile umejichanganya. Maana halisi ya "populist leader" ni kiongozi anayefanya siasa za ulaghai akiwaaminisha watu kwamba matatizo yao yanasababishwa na kundi dogo la jamii lililofanikiwa ama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Hoja mufilisi zinazohoji timu ya taifa kutumia national airline ya taifa jingine ilihali nasi tuna airline yenye route yenye mwelekeo huo? Basi huna akili na kumtetea kwako Rais kwenye kila uzi hujui ulitendalo. Na wala hujui biashara na uchumi. Chukulia mfano mashindano ya mataifa ya ulaya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Museveni asingeruhusu ndege kukamatwa kwani ana nguvu kuliko mahakama nchini Uganda.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Unamatatizo. Mimi nimeuliza maswali nawe waniuliza. Huoni ilikuwa ni vema unijibu kwanza. Ikiwa safari yao imefadhiliwa na hao Uganda Airlines ama Museveni hakuna tatizo. Lakini Ikiwa wamelipa wenyewe TFF na AirTanzania bado wanafanya route hiyo basi kuna tatizo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Wewe ni Mganda? Ikiwa wewe ni Mtanzania halisi basi hujui masuala ya biashara na uchumi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Sijui. Nieleze wewe. Ikiwa wamelipiwa sina tatizo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Wandugu, Nimesikitika kuwaona Timu ya Taifa Kilimanjaro Stars wakienda Uganda kwenye mashindano ya CECAFA kwa Uganda Airlines. Imebidi kuuliza ikiwa bado Air Tanzania tunaenda Entebbe. Na ikiwa bado tuna njia hiyo. Je uzalendo wa TFF upo wapi? Naona tunajimaliza wenyewe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano: Kuweni Wakali, msionee! Tangulizeni utu na ubinaadamu kwanza!

    Asante kwa kulisemea hili. Kuhusu Mkurugenzi kuzirai. Ifike kipindi wajifunze. Maana yule jamaa akifa kitakuwa kitu kingine. Kule kutakuwa ni kuua bila kukusudia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa VISA ya Afrika Kusini

    Hii tovuti ya wizara ya mambo ya ndani itakusaidia. Soma vizuri kwenye temporary na permanent residence permit. http://www.dha.gov.za/index.php/immigration-services
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa VISA ya Afrika Kusini

    Nadhani unaongelea residence permit itakayokuruhusu kuishi na kufanya kazi kwa muda wote. Idara ya uhamiaji ya SA ndiyo wanatoa hiyo kitu ukiwa huko. Jaribu kutafuta tovuti rasmi yao utapata maelezo kamili. Ikiwa unahitaji kukaa kwa muda usiozidi miezi mitatau yaani kutembea tu bila kufanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sumaye na Mwambe waligombea kwenye Kanda zao na tena wanagombea Uenyekiti Taifa?

    Samahani kukuuliza ndugu. Hivi wewe ni 'ke' ama 'me'?
Back
Top Bottom