Recent content by matundas

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

    Meneja wake ni kaka yake halafu kikubwa ni mvivu wa zoezi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msikiti unaojengwa na mchezaji wa Taifa Stars na Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta

    Hashim pamoja nakuisha kwake ila anauwezo wakumlipa mamako babako na wewe mshahara hadi unakufa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya juu nchini Kenya imepiga chini maombi ya kuvaa Hijab kwenye shule zisizo za Kiislam

    Wakutubana nchi hii hakuna Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo ya Juma nature na Karen Makupa.....mamiii njoo tuwe pamoja mwenzio mm sina rahaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Na lengo la alienzisha huo msemo nikukataa kuongozwa na washamba kama wewe mtoa mada
  6. M

    JamiiForums Tanzania AY akiri kumiliki nyumba Marekani

    Unaongea mashudu gani kijana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawazamii au kuloea nchini India

    Katika pita pita zako ushakutana na matangazo ya kusoma English course mengi tu vipi ushawahi kutana na sehemu wanafundisha Indian course na ishajiuliza kwann na wahindi wapo kibao bongo hapa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    Mkuu anataka kupigana vita nyingi sana wakati vita muhimu anaiacha god help us tuliingia chaka na tunajuta
  9. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu gani mbaya umewahi ona mwizi akipewa

    Kuna Mzee mmoja yeye alikua akisikia kelele za mwizi anatoka na mawe ya kilo moja moja ya mizani yale halafu anakuja anawaambia mkimaliza kumpiga niachieni basi anachukua jiwe moja anaweka chini ya pumbu halafu nyingine anabamiza kwa juu watu wote pale wanajishika pumbu kama wamepigwa wao yule...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma

    Nchi inapitia kipindi kigumu sana maana hadi takataka kama kina musiba zinatiliwa maanani wallah hadi awamu hii iishe watu wengi wenye uwezo wa kupambanua mambo watakufa kwa mawazo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani familia ya Dewji ni rafiki wa Watanzania fikirieni tena

    Hizi mambo zote zimesababishwa na maccm ambao hawafuati kanuni na sheria Ila nikuneemesha matumbo yao mtoa mada unadhani nchi ingeongozwa kwa sheria ya kanuni haya mambo unayoyasema yangetokea kuna wakati hawa mnao waita wahindi wanatumia loopholes zilizopo kufanya mambo yao halafu mnakuja hapa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Watu wa jf mkifanikiwa kutoka vijijin kwenu huko mkija mjin mkafanikiwa kupanga kijitonyama na mbezi goigi na kununua vi IST mnaonaga mmeaptia kweli maisha pumbavu......
  13. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba ahojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu sakata la Mo Dewji kutekwa

    Janu hawezi kutishwa na kinyago alichokipigania kuingia magogoni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Hao watekaji wanajiamini sana walimtekea karibu na makao makuu ya usalama wa taifa jiran na kwa makamu wa rais halafu wamekuja kumtupa gymkhana karibu na ikulu hahahaha kweli yajayo yanafurahisha......na tusishangae watekaji wasitafutwe ila ataanza kutafutwa Zito
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gari lililotumika kumteka Mo Dewji lina namba za usajili za Msumbiji

    Safi mkuu maana watu hapa wanajitia wajuzi kweli kumbe mazwazwa tu
Back
Top Bottom