RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,030
- 137,736
Ulaya huyo lazima awe wako.
Ulaya huyo lazima awe wako.
Mtandum - double diff. - Turbo intercooler , ongezea lako
Hapa jamaa kaongea uongo kabisa.Aiseee nani kakuambia mhaya akina kabila lingine anatengwa??hii mifano mingine mnayoiweka humu muwe na uhakika nayo.sio mnasikia tu vijiweni basi mnaleta has kama mifano.WA haya wameoa na kuolewa sana na makabila tofauti
Wamekaririshwa wazamiaji wapo sema watu wanaidharau tu India ...Watafute mabaharia wa zamani wengine wapo mpaka leo hukowatu wamekaririshwa kuwa Wahindi ni wabaguzi hivy kuogopa kwenda uko.
Pia uchumi wa India unawatosha wahindi wenyewe sababu wapo wengi,sio kama uchumi wa china ambao una outfit population yao.
There are no friendly people like INDIANS
LIVE LONG BHAHARAT
mera naam Khan hain
Tanzania hamuiingii India hata roboVipi kiuchumi tofauti yao?
7.5Hapo juu nimeona Wahindi ni 1.3 b wachina ni 1.4 b je dunia nzima binadam tuko wangapi nisaidieni please
BHAHARAT JADUUUwatu wamekaririshwa kuwa Wahindi ni wabaguzi hivy kuogopa kwenda uko.
Pia uchumi wa India unawatosha wahindi wenyewe sababu wapo wengi,sio kama uchumi wa china ambao una outfit population yao.
There are no friendly people like INDIANS
LIVE LONG BHAHARAT
mera naam Khan hain
Utalishwa pilipili kichaa hadi na wewe upate kichaaUtalishwa mapilipili hadi akili ikukae sawa.