Recent content by Matumona

  1. Matumona

    Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kikosi leo hakina Morison hata kwenye sub. Vp Azam hawajatoa list ya kikosi cha leo?
  2. Matumona

    Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

    Sidhani kama jamaa anazungumzia ishu ya mishahara. Nadhani kajikita kwenye urahisi wa kupata ajira kati ya kozi tajwa hapo juu.
  3. Matumona

    SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

    Wachambuzi wa Tanzania bana....unashindwa kuelezea vizuri kwenye faida za hiyo reli kiuchumi, kisiasa na kijamii, lakini umekazana na point kuwa malori mengi yatapaki as if kupaki kwa malori na watu kukosa kazi nayo ni sifa pia!!!!!!!
  4. Matumona

    Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Si naskia washaachana kitambo kidogo?
  5. Matumona

    Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Huyo mdada ni yupi..codes
  6. Matumona

    Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Ni dada yupi huyo wa bongo movie..codes tafadhali ndugu
  7. Matumona

    Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Hapa namuhurumia msanii wetu jeshi, kama ni kweli lakini.
  8. Matumona

    Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Code ya huyo mdada tafadhali
  9. Matumona

    Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

    Bao moja au matano kwa nani na kwa muda gani?. Mimi naamini mwanaume anaweza kupiga hata 4 au 5 ILA inategemea kakutana na mwanamke wa namna gani na amekaa nae kwa muda gani. Ila kama kuna mwanaume ambae anaishi na mke ndani halafu akaweza kupiga hizo 4 au 5 kila siku basi huyo abnormal na...
  10. Matumona

    Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Hii code ya huyu mdada sijaijua mpaka sahvi ndugu
  11. Matumona

    Fremu ya biashara Dodoma mjini inahitajika haraka!

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano!. Bila shaka mu wazima na kama una tatizo kidogo au sana la kiafya, basi natamka uponyaji kuanzia sasa, UPONYWE Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nahitaji fremu ya biashara inayofaa kwa biashara ya kuuza vifaa vya computer na simu...
Back
Top Bottom