Recent content by mattymfunami

  1. mattymfunami

    Dar: Bilionea Davis Mosha mikononi mwa Polisi kwa kuwashambulia Maofisa wa Uhamiaji; aachiwa kwa dhamana

    Jamaa wa uhamiaji anamuwekea nini Mosha mfukoni???? Kashabambikiwa kesi duuuuh, hiii ndo TZ
  2. mattymfunami

    Maoni yangu juu ya tukio la Askari Polisi dhidi ya Mwanajeshi katika benki fulani jijini Dar es Salaam

    Huu ni Ushauri? Maoni? Mawazo yako??? Au unatuhadithia kilichotokea?
  3. mattymfunami

    Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Unaweza kutupa chanzo Cha matokeo yako tukijue. No research No right to speak
  4. mattymfunami

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Tatizo ni upeo wako!
  5. mattymfunami

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Where is your research?
  6. mattymfunami

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    No research no right to speak!
  7. mattymfunami

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Akili yako fupi Kama maisha ya funza huwez jua maana ya uislam maana upeo wako umeishia hapo
  8. mattymfunami

    Kiwanja kinauzwa Madale

    Nishakuja Pm
  9. mattymfunami

    Maandalizi ya Vita: Korea Kaskazini yawahamisha raia 600,000 kutoka mji mkuu Pyongyang

    Anaweza kushindwa ila itamrudisha sana nyuma marekani maana nyuklia zitaharibu hadi nchini kwake
  10. mattymfunami

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Mapenzi yakizid uhalisia pole kwa kupoteza mda wako hakika hujitambui
  11. mattymfunami

    Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

    Kwanini asiende mda wa kazi? Kaenda kufatilia saa 5 kasoro? Haina mashiko
Back
Top Bottom