Recent content by matthew's

  1. matthew's

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au Klynn

    Nadhani uyatima ndio ulimfanya aishie la saba b tena chini ya mti, coz hakuona mtu wa kuweza kuendelea kumsaidia, na yawezekana alifaulu vizuri tuu lkn kwa kipindi kile kam hauna uwezo basi nafasi yako inauzwa kwa wenye uwezo.lkn kinachoonekana hapa ni kwamba alithubutu na akawin
  2. matthew's

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana ila huwa tunajiendekeza tuu

    Wengi hufikiri kuwa mwanaume au mwanamke hawezi kudumu na mpenzi mmoja na pia kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi pale ambapo mwenza wake anakuwa mbali na yeye hata zaidi ya mwaka mmoja. Ila nimejaribu kufanya utafiti na nimegundua kuwa kumbe inawezekana endapo tuu mnamapenzi ya dhati na...
  3. matthew's

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kufanya hiviii au si sahihii

    so wote wanaoleta mada au story zile simulizi wao ndio wahusika???? sas kw stail hiyoo hata kam ningekuwa ni mim so ungekuwa umenisaidiajee...
  4. matthew's

    JamiiForums Tanzania Haki za mtu anayekamatwa na polisi

    hivi askari anapotumwa kwenda kumkamata mtu ni haki gani anayokuwanayo mtu yule anaetaka kuchukuliwa na polisi kupelekwa kituoni ikiwa hana chochote anachokifahamu kinachoendelea.
  5. matthew's

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kufanya hiviii au si sahihii

    hebu tupeane mawazo wadau kuna mtu ametokea kupendwa sana na demu ambaye alikuwa ni demu wa kaka yake ambaye kwa bahati mbaya huyo kaka yake ni marehemu.. lkn anadai kuwa binti huyooo alianza kumpenda baada ya kaka yake kufariki soo baada ya muda kupita dada huyoo akahamishia mapenzi yake kwa...
  6. matthew's

    JamiiForums Tanzania aina tatu za ndoa

    Yaaaa umekosea aseee...huo ni kama utaratibu tuu wa ndoa kwamba unaweza funga kanisani au msikitini,ya mkeka au bomani
  7. matthew's

    JamiiForums Tanzania aina tatu za ndoa

    wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini ndoa nyingi sana siku hizi hazidumu si tanzania tuu bali dunian kwote kwa ujumla. hapa jibu ni moja tu kuwa kuwa tumeikosa aina moja tuu ya ndoa ya kweli waliyokuwa nayo wazee wetu zamani... kwa sasa kuna aina tatu za ndoa...1.ni ndoa kati ya mwanamke na...
  8. matthew's

    JamiiForums Tanzania volunteerism

    kutokana na ugumu wa upatikanaji wa kazi na pia kuhitajika kwa uzoefu kila ninapoomba nimeona basi ni bora nkatafuta sehemu ya kujivolunteer kwanza ili angalau basi niweze kupata uzoefu na pia kujitengenezea mazingira mazuri ya kuweza kupata kazi. hivyo nawaomba ndugu zangu wana jamii forum kwa...
  9. matthew's

    JamiiForums Tanzania Natafuta sponsor wa masomo ya elimu ya juu

    Samahani ndugu zangu wana jamii forum naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie ni wapi naweza kuwapata hawa sponsors kwa ajili ya masomo yangu ya degree. Ni kutokana na hali ilivyo mbaya kwenye mikopo yetu ya elimu ya juu.ikizingatiwa si wengine uwezo wetu kiuchumi ni mdogo sana.
Back
Top Bottom