matthew's
Member
- Aug 3, 2014
- 12
- 3
kutokana na ugumu wa upatikanaji wa kazi na pia kuhitajika kwa uzoefu kila ninapoomba nimeona basi ni bora nkatafuta sehemu ya kujivolunteer kwanza ili angalau basi niweze kupata uzoefu na pia kujitengenezea mazingira mazuri ya kuweza kupata kazi. hivyo nawaomba ndugu zangu wana jamii forum kwa yeyote ambaye anaweza akanidirect sehemu ya kujitolea kutokana na fani yangu ya BANKING AND FINANCE naomba anijuze tafadhali..0654937750