Recent content by matthew12345

  1. matthew12345

    Nahitaji mtu wa kutengeneza website ya biashara

    Mkuu call 0759702766 Nikuonyeshe kazi tulizofanya km utalizika nazo na ww nikutengenezee website nzuri na nitakuuelekeza jinsi ya kujitangaza kwenye social media
  2. matthew12345

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu itupie hii nimeshindwa
  3. matthew12345

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana hii nyimbo nilikuwa naitafuta sana bila mafanikio
  4. matthew12345

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana hii nyimbo nilikuwa naitafuta sana bila mafanikio
  5. matthew12345

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu kuna nyimbo nazikumbuka miztari kadhaa tu na ninazitafuta sana naombeni saada 1.nimekuzoea ukiniacha.......... mapenzi siyo pesa wala siyo ustaa Alafu kwa mbele km kuna binti mmoja anaimba kwa mbele mwenye hii nyimbo anisaidie au hata jina tu km mnaijua 2. nashindwa baby bila wewe mi...
  6. matthew12345

    Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    hongera ngoja niipakue Sent using Jamii Forums mobile app
  7. matthew12345

    Naomba kufahamishwa kuhusu mashine za kubetia

    Nilienda m betting na premium betting mashine zile ndogo wanazitoa bure unatakiwa uwe na baraua za wazamini wawili zikiwa na muhuri wa selikari za mitaa. na barua moja ya utambulisho wako kutoka serikali ya mtaa. hawa jamaa wanatoa commision kwa kila laki moja utakayokatisha ticket wanakupa elfu...
  8. matthew12345

    BADO SIJPATA MSAADA WAKUU JUU YA HII WEBSITE

    Mkuu njoo imbox tuelewane nikutengenezee hiyo website ni file hosting website ambapo watu wanakuwa wanaweka mafile yako kwa malipo au bure na wengine wanadownload km premium member au free na ina sehemu ya ads kwaajili ya leads ambazo zinapatikana kwenye web
  9. matthew12345

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    hii miereka sometimes km uongo
  10. matthew12345

    Mke wa jirani yangu kaja kuomba hifadhi kwa usiku wa leo

    mkuu hii post yako inaonyesha upo vyombo tayari
  11. matthew12345

    Naomba nijue Tiba ya kwikwi maana inamtesa baba yangu

    hii dawa mi mwenyewe nilipewa kuna siku kwiki ilinisumbua sana kuna jamaa aliniambia jambo Fulani yani akili yangu yote ilihama na kuanza kuliwaza lile jambo km baada ta dakika kumi jamaa akaniambia alikuwa ananidanganya tu na kwiki ilikuwa umekata mda huo we usiogope mwambie mzee wako kitu...
  12. matthew12345

    Naomba nijue Tiba ya kwikwi maana inamtesa baba yangu

    dawa ya kwiki ni simpo sana mshtue mzee wako kwa jambo lolote yani yani mwambie jambo ambalo litaiteka akili yake au mshtue na umuamishe kimawazo hata kwa dakika 30 hivi utiona kwiki inapotea tiba hii ni ya uhakika
  13. matthew12345

    SOFTWARE Je, unamiliki duka la nguo njoo tukupatie hii android application uuze bidhaa zako online

    Je umeshawahi kujiuliza ni kivipi wateja walio mali na duka lako wanaweza kupata bidhaa zako ? Dunia ya sasa imeamia kiganjani. wateja wako hawana haja ya kuja dukani kwako tena. weka duka lako mkononi kwa application nzuri ya android itakayokuwezesha kuweka bidhaa zako zote mtandaoni na wateja...
  14. matthew12345

    Njoo nikutengenezee android application kwaajili ya website yako

    Njoo nikutengenezee android application kwaajili ya website yako kwa gharama nafuu sana tuwasiliane kwa +255 759 702 766 info@clicktech.co.tz Km hauna website usijari nitakutengenezea nayo karibu
Back
Top Bottom