Recent content by Matteo Vargas

  1. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    Ushauri wangu: Acha kufuatilia mambo ya watu. Itakusaidia sn
  2. Matteo Vargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Hata hao unaogharamia achana nao kuwa na mke wako peke yako.
  3. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nasikia kuna nyongeza
  4. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nasikia mshahara una mabadiliko mliopata tusaidieni ni kweli??
  5. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

    Huku kama huna ngozi ya chui utatoka vidonda vya tumbo huku sio instagram naona wadau wameanza kukupopoa mapema tu 😁😁😁
  6. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Wew mbuzi mpuuzi elewa kilichoandikwa.
  7. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Wew mbuzi mpuuzi utakuwa umeingia kwenye makundi ya ng'ombe.
  8. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Acha kudanganya kwa Afrika Mashariki hakuna timu nzuri kama Kenya wana discipline na team work ya hali ya juu kuliko UG na TZ. Tungekuwa kundi la Kenya sijui tungekuwa na hali gani
  9. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Una maana hiyo billion + faida ingerudi kupitia kodi zetu kama angeenda bungeni kwa kipindi cha miaka 5 tu? Kama hivyo ni kweli bungeni wanaenda wabunge wangapi? Wote wakipata hiyo pesa tunaendelea lini? Siamini. Ila kama ni kweli taifa linahitaji tafakuri jadidi.
  10. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

    Ungetuwekea hivyo vipimo ndugu yangu ili tuchambue kisayansi otherwise jambo lako ni la kufikirika pia.
  11. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

    Kama hii sio official kit basi huu uzi utauzika kuliko hiyo official kit. Otherwise official kit iwe kali kuliko hii. Najua na hii Jezi utopoloni watocopy na kupaste km wametoroka mirembe
  12. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania DR SULE amesema wanawake wote wa kiislam peponi chuchu zao zitakuwa kama msumari na maumbile yao kama binti wa miaka 16 kwa ajili ya wanaume wa enjoy

    Na wale wanaume vibamia na kimoko chali utaratibu wao upoje huko?? 😁😁
  13. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Mleta mada ni wale watoto wa English medium mkate na siagi hawajui hizi pilika pilika ndio maana wanashangaa. Sasa angekuta wameambiwa wachimbe visiki ingekuwaje. Ujenzi wa hizi shule unatumia mfumo wa Force Account hivyo hiyo ni kawaida tu. Na pia ni sehemu ya stad za maisha
Back
Top Bottom